Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Thursday, March 27, 2014

HONGERA SANA MERIKINOI L. SUMUNI KWA KUIKUMBUKA SIKU YAKO MUHIMU KATIKA MAISHA

MERIKINOI L. SUMUNI

Hongera sana kwa kuikumbuka siku yako muhimu sana ya kuzaliwa na sisi kama familia tunaungana pamoja kukuombea mafanikio na Mungu akulinde na mabaya yote pia akupe maisha marefu sana. Upendo huu wa kukutakia heri ya siku yako ya kuzaliwa unatoka kwa sisi ndugu zako tunaokupenda kwa dhati mama yako mpendwa Helen sumuni, kaka zako Dr. Timizaeli L. Sumuni, Emanuel Malepu na Crispine Shayo, pia na wifi zako Advocate Sylvia P. Shayo,  Sharon Shayo, na Mercy Shayo.  

Wote Kwa Pamoja Tunakupenda Sana. 


No comments:

Post a Comment