Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Saturday, June 21, 2014

ORODHA YA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO 2014
Uchaguzi wa wanafunzi wa kujiunga Kidato cha Tano katika shule za Serikali na Vyuo vya Ufundi kwa mwaka 2014 umekamilika. Uchaguzi umefanyika kwa kuzingatia takwimu za matokeo ya watahiniwa waliofanya Mtihani wa Kidato cha Nne Tanzania Bara mwaka 2013.


Majina ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga Kidato cha Tano mwaka 2014

1. Wasichana --- Shule Zote  
BOFYA  HAPA  KU  DOWNLOAD(PDF)  
2. Wavulana --- Majina ya Shule A Mpaka L   
 
  BOFYA  HAPA  KU DOWNLOAD(PDF)

No comments:

Post a Comment