Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Wednesday, July 8, 2015

Edward Lowassa apeta kwenye kamati ya maadili mjini Dodoma


                       Mhe. Edward Lowassa

Lowassa apeta Maadili ,Membe, na Makongoro wanaswa na tuhuma za Rushwa. Taarifa za kutoka ndani za kikao cha Maadili kinachoendelea hivi sasa mjini Dodoma kimeonyesha njia Salama kwa baadhi ya Makada wa CCM na pia kuwa kichungu kwa Wengine. Makada wa ccm waliopeta kwa urahisi ni Edward Lowassa, Gharibu Bilal na Asha Rose Migiro.


Makada walio kutana na kikwazo cha kamati ya Maadili ni Bernad Membe ambaye Amekutwa na tuhuma za Rushwa zisizo na kificho katika mtanange wa kusaka Udhamini. Taarifa ya Usalama na TAKUKURU ambao ni walikwa zimefanana bila hiana kwa Baadhi ya Wagombea ambao walidiriki kutumia Rushwa kupata wadhamini wameanikwa bila kificho mkoa kwa mkoa, Wagombea hao ni Bernad Membe , January Makamba , Mwigulu Nchemba, Samweli Sitta, Makongoro Nyerere, Jaji Ramadhan na Magufuli.
Aidha Mwenyekiti wa Chama Amekuwa mkali kuliko matarajio ya wajumbe walivyo dhani kuwa itakuwa, Nape na Mangula wameonekana kuwa wapole mpaka sasa kwani report ya usalama na TAKUKURU inaonyesha kuwatisha na kuwatia Simanzi kinyume na Matarajio kwa mgombea wao.

No comments:

Post a Comment