HABARI ZILIZOTUFIKIA: Mama mzazi wa PROF JAY amefariki dunia usiku..!
Hali ilivyo asubuhi hii hapa nyumbani kwa Prof
Jay ambapo ndipo ulipo msiba wa mama yetu.. kwa wanaotaka kuja msiba
upo Mbezi mwisho baada ya stendi mpya ya mabasi basi mbele kidogo mkono
wako wa kushoto utaingia utaona nyumba kumba ipo kwa chini na magari
mengi basi ndio hapo hapo. Kwa wanaokuja na daladala baada yakupita hiyo
stendi mpya utamwambia konda akushushe kwa Prof Jay maana ndio kituo
hicho. RIP MAMA MAJANJALA
No comments:
Post a Comment