Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Friday, June 15, 2012

DOGO JANJA APOKELEWA ARUSHA KWA FURAHA!!

DOGO JANJA APOKELEWA ARUSHA KWA FURAHA!!..... PICHA HIZI HAPA..Jcb nigga c dogo janja in da house yooooooooooo Wengi wanaamini kuwa siku zote mtu unapotoka sehemu yenye amni, furaha, upendo na kupelekwa kwenye sehemu yenye shida, njaa na mateso huwa mtu anakosa furaha sana.... LAKINI KWA DOGO JANJ A INAONEKANA KAMA KUTOKA TIP TOP AMEFYRAHIA SANA...

SWALI LANGU NI "JE  KAMA DOGO JANJA ALIKUWA ANAISHI MAISHA YA RAHA NA MADEE IWEJE AFURAHIE KURUDI NYUMBANI (ARUSHA)????     

No comments:

Post a Comment