Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Tuesday, June 19, 2012

HILI NDIO GARI JIPYA ALILONUNUA DIAMOND PLATNUMS.


Posted: 19th June 2012 by MillardAyo
Diamond akiwa na mkoko wake mpya.
.
Staa wa muziki Tanzania Diamond  Platinumz ambae alikua anaendesha Opa kabla ya kununua hili gari leo ameithibitishia teentz.com Exclusive na kutoa picha za mkoko wake mpya ambao ni Land Cruiser Prado yenye thamani ya Milioni  60 na alikua na mpango wa kununua mkoko kama huu longtime  tu.
Hili ndio gari alilokua analimiliki na kulitumia Diamond Platnums.
.

No comments:

Post a Comment