Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Thursday, June 28, 2012

SHILOLE AKINUKISHA KWA CASTO WA CLOUDS TV


                   Zuwena Mohamed ‘Shilole’.

MTANGAZAJI wa Siz Kitaa kupitia Televisheni ya Clouds, Casto Dickson amegombana na mpenzi wake ambaye hivi karibuni alimvisha pete ya uchumba chanzo kikidaiwa ni msanii wa filamu, Zuwena Mohamed ‘Shilole’.
Kwa mujibu wa sosi, mchumba wa Casto, Hannemarry Ruphin ni kuona picha mtandaoni ambazo Casto alipiga na mwigizaji huyo.
Casto alipopatikana kwenye simu alijibu: “Yah! Tulizinguana kiaina, si mnamjua tena shemeji yenu, alitaka maelezo ya kina nikamwambia ni picha ya kawaida wala hakukuwa na lolote nyuma ya pazia.”

No comments:

Post a Comment