Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Monday, July 23, 2012

AJALI YA MV SKAGIT: WAZIRI ZANZIBAR AJIUZULU...!

       
 
 Waziri wa Mawasiliano na Miundombinu mjini Zanzibar,  Hamad Masoud amejiuzulu wadhifa wake baada ya kuwepo kwa shinikizo la kuachia ngazi lilitoka kwa wananchi.

Hatua hii imekuja kufuatia madai ya wananchi kuwa ajali za meli zimekuwa zikiongezeka mjini Zanzibar bila yeye kuchukua hatua.

KWA HABARI ZAIDI ENDELEA KUTEMBELEA HAPA HAPA www.kingjofa.blogspot.com


No comments:

Post a Comment