Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Sunday, July 8, 2012

CHEKI PICHA ZA JOSE CHAMELEONE ALIVYO FUNIKA TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI NDANI YA UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR...!

 
Chameleone akiingia uwanjani kuwarusha mashabiki 
waliofurika Uwanja wa Taifa usiku wa tamasha la matumaini

  
Jose akiimba na maelfu ya wapenzi wa burudani waliofurika 
ndani ya Uwanja wa Taifa usiku huu.

 
Sehemu ya maelfu ya wakazi wa jiji la Dar waliokuwa wanafuatilia shoo hiyo.

Mwanamuziki mahiri kutoka nchini Uganda, Joseph Mayanja 'Jose Chameleone' usiku wa leo amefunika vilivyo katika Tamasha la Usiku wa Matumaini lililofanyika ndani ya Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Chameleone aliwarusha mashabiki kwa baadhi ya nyimbo zake za zamani kama Mambo bado, Kipepeo na ile mpya iitwayo Valu Valu inayopendwa na watu wengi hapa Bongo.

No comments:

Post a Comment