| Hapa general Diamond akiingia ukumbini na full Security toka kwa jeshi la polisi la Zanzibar. |
| Jeshi zima la Wasafiii likiwa tayari kabisa kwa kui'vunjavunja stage ya ZIFF |
| Kabla ya kwenda stajini ikabidi kwanza afanye interview na Capital Tv.. |
| Diamond akiwa na warembo kabla hajapanda jukwaani.. |
| Diamond akiwa na vijana wake wa kazi wakimtanguliza Mungu kabla ya kuvamia jukwaa...Maana siku zote ukitaka mambo yako yanyooke nilazima umtangulize Mungu mbele. |
| HAPO TAYARI WASAFI WAPO JUKWAANI NA HIVI NDIVYO WALIVYOANZA.. |
| DIAMOND AKIWA JUKWAANI TAYARI AMESHAANZA KUWAPA BURUDANI MASHABIKI WAKE.. |
| NA HAPO JE...! |
| JAMAA KAMA ANALALAMIKA FLANI LAKINI NDIO HIVYO BURUDANI MIA MIA.... |
| Huu ndio baadhi ya umati ulioudhuria katika show ya Ziff Festival Zanzibar |
| Jama wakati mwingine huwa kama amepandwa na mashetani na kujikuta analia kweli stejini |
| Hadi weupe nao wanachizika na show ya Diamond... |
| Mzuka umempanda Diamond anaanza kuvua nguo stejini.. |
| Ameamua kuwasogelea mashabiki ili azidi kuwapa burudani kwa sana... |
| Wasafiii haooooo na style zao za kupagawisha.. |
| Diamond nae kawa kama Cristian Ronaldo anapiga miguu yote miwili kuimba na Piano Pia... |
| Wanasema gym ni moja ya kitu muhim sana kwa mwanamuziki, hufanya hata akiwa stajini akivua shati anapendeza na kuvutia mbele za watu... Je kuna ukweli juu ya hilo?? |
| Diamond ameamua kuonyesha mahudhurio yake ya gyme yalipofikia... |
| Maskini hawakutaka hata Diamond aingie kwenye gari walipenda hata abaki japo waongee mawili matatu lakini ndio hivyo tena management haikuniruhusu... |
No comments:
Post a Comment