Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Friday, July 20, 2012

FUJO NA MABOMU YATAWALA ZANZIBAR KWENYE MAOMBOLEZO...!

Hali ni tete Mjini Unguja baada ya kundi la Uamsho kuamua kuwaombea Dua waliozama na Meli, lakini habari toka kwa mtu ambae yupo huko anasema askari wameenda na kuwatawanya kwa mabomu, habari zaidi tutawajulisha muda si mrefu.
hapahapa www.kingjofa.blogspot.com

No comments:

Post a Comment