| Diamond akiingia uwanja wa ndege tayari kuelekea Zanzibar kwenye tamasha la ZIFF. |
| Hapa Diamond akiwa na wasafi wake wakifanya last chek'in kwa ajili ya kuingia kwenye ndege waanze safari. |
| Katika maisha yake yote leo ndo ilikua mara yake ya kwanza kuvaa pens mbele ya hadhara na tena imenibidi tu kwasababu ana kidonda kwenye mguu...basi alikua kila dakika anajishtukia.... |
| Hapa wakiisubiria igeuke maana ilisha anza mwendo.. |
| Hapa nikiongea mawili,matatu na mmoja wa kampuni hiyo |
| Hapa Diomond haamini kama ndege inaweza ikarudi kuwachukua, maana ilishaanza mwendo. |
| Hapa Diaomond akijaribu kumuuliza mfanyakazi wa Precission Air kama kweli ndege itageuka au ndo inaenda kupaa ili waelekee kwenye meli.. |
| Jamaa ana stress za kuachwa na ndege lakini anajiliwaza kidogo.... |
| Hapa gari ikaja ya kuwasogeza kwenye pipa (ndege) ili waweze kuwahi. |
|
| Hapa Diamond haamini kama kweli ndio anapanda pipa kuelekea zanzibar... maana tayari alisha kata tamaa... |
| Hapa ni wakati wakishuka kwenye ndege tayari wapo Zanzibar..... |
| Hapa wakiwa airport zanibar wakisuburi mabegi yao... |
| Gari iliyokuja kuwachukua uwanja wa ndege kuwapeleka hotelin. |
| Diamond akiwa kiti cha mbele wakielekea Hotelin |
| Hotel sasa,.. Diamond akiwa na mmoja wa wenyeji wetu toka ZIFF aliowapokea |
| Hapa wakipeana mawili matatu toka Dar na Zanzibar.. |
| Hapa Diamond akijiandikisha kwenye kitabu cha wageni hotelin. |
| Diamond akipooza koo na juice baada ya misukosuko ya safari toka Dar mpaka Zanzibar.. |
No comments:
Post a Comment