| Wema Sepetu akiwa na mwalimu wake Rashid Matumla,kabla ya mpambano kuanza... |
| Wema akinyanyua mikono juu ikiwa ni ishara ya matumaini ya ushindi |
| Wema akitoa koti tayari kwa kuanza kutupa ndonga dhidi ya Wolper |
| Wema,akimsubili mpinzania wake kwa hamu. |
| Jacline Wolper akielekea kwenye ulingoni. |
| Wolper akiingia ulingoni kupambana na mpinzania wake. |
| Refa wa mpambano huo akiwapa maelekezo warembo hao,kabla ya mpambano kuanza... |
| Hawa ni baadhi ya washabiki waliokuja kutazama pambano |
| Wema na Wolper wakiwa ulingoni |
| Wema na wlper wakikabiliana vilivyo ndani ya ulingo |
| Michezo furaha, angalia wapinzani wametoka ulingoni na sasa ni marafiki. |
| Wema na Wolper wakipongezana baada ya kazi nzito ya jutupianda ndonga ulingoni |
No comments:
Post a Comment