Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Sunday, July 8, 2012

LEO USIKOSE S.U.A Free-Stage Project "Kutoka Watengwa records"...!

 
S.U.A. (Saving Underground Artists) ni jukwaa huru kwa ajili ya vijana kukutana na kubadilishana mawazo kwa kutumia nguzo za Hip Hop. Wahusika hasa ni wasanii chipukizi ambao hawana uwezo wa pesa kufanya sanaa. Lengo kubwa hasa ni kuwalinda vijana chipukizi wenye vipaji, wakati huo huo kutumia jukwaa kuelimisha jamii. Kutakuwa na vitu kama semina kwa ajili ya wasanii — kuwafundisha ili waje kuwa wasanii wazuri na kuwaelemisha kuhusu sehemu na majukumu yao katika jamii.

Na mpaka sasa tayari kuna baadhi ya wasanii ambao kupitia S.U.A project wamesha record nyimbo, pia kuna  event  kama mfano wa Project ya OKOA MTAA ambayo itazinduliwa mwisho wa huu mwaka.....Kwa maswali, msaada ama ushauri tuandikie kwenye suafreestage@gmail.com............ama web page yetu @S.U.A(Saving Underground Artists)


KWA YEYOTE AMBAYE ANAUPENDA MZIKI WA HIP POP ANAKARIBISHWA SANA....
HAKUNA GHARAMA YOYOTE KIINGILIO NI BUREEEEEEEE.........!
NI PALE PALE NJE YA STUDIO YA WATENGWA RECORDS,,, NKIJENGE JUU......! 
Huu ndio ujumbe wa JCB alio waandikia wadau na washiriki wote wa TAMASHA LA S.U.A.  
oi leo tukutaneni KIJENGE JUU kuanzia saa tisa nnje ya studio ya WATENGWA kuna S.U.A michano bato grafiti zitausika kwa fasi so please karibu sana sababu ni bure..."

Mengi zaidi kuhusiana na S.U.A na Watengwa kwa ujumla utaendelea kuyapata hapa hapa ..

No comments:

Post a Comment