Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Wednesday, July 11, 2012

LIVERPOOL NDIYO MABINGWA SERENGETI FIESTA SOCCER BONANZA MJINI MOSHI...!



Anitha Moshi CPAE wa Serengeti kwa Kilimanjaro.
Liverpool wamefanikiwa kuchukua ubingwa wa Serengeti Fiesta Soccer Bonanza katika mchezo wao uliofanyika kwenye uwanja wa Memorial mjini Moshi mkoani Kilimanjaro Jumapili.  Bonanza limepamba moto ambapo
kumekuwa na burudani mbalimbali zikishirikisha mpira wa miguu kutoka kwa timu za mshabiki wa timu mbalimbali za Ulaya ambazo ni Manchester United, Liver Pool, Chealsea, Arsenal, Baeryen Munichen na Manchester
City, Barcelona na Real Madrid.

King jofa alipata fursa ya kuzungumza na baadhi ya wadau waliweza kuelezea furaha yao kwa kukutanishwa mashabiki wa timu za ulaya na Serengeti na wameomba Tamasha hilo kufanyika mara kwa mara Pia king
jofa aliweza kutafuta mfanyakazi wa Serengeti akabahatika kuzungumza na Anitha Moshi ambaye ni CPAE wa Serengeti kwa Kilimanjaro aliweza kuonyesha furaha yake huku akishukuru wakazi wa Kilimanjaro kwa
kujitokeza kwa wingi katika Bonanza hilo.

Mwalimu Steve akiwa na Mbwiga mtangazaji wa Clouds FM wakiwa kwenye mahojiano





 Moja kati ya timu zilizoshiriki Serengeti Fiesta Soccer Bonanza
Hawa ni Mashabiki/Wachezaji wa Barca wakishangilia.


No comments:

Post a Comment