Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Tuesday, July 24, 2012

NDEGE YA PRECISION AIR YAPATA AJALI KIGOMA...!


Ni siku chache tu toka imetokea ajali ya Meli ya MV SKAGI iliyokuwa ikitokea Dar es salaam kuelekea Zanzibar, haya tena leo mchana tukapokea taarifa ya ajali ya Basi la SIMBA MTOTO klugongana uso kwa uso na Basi la DAR EXPRESS,  na muda si mrefu tumepokea taarifa ya ndege ya PRECISION AIR iliyotokea huko mkoani KIGOMA na kwa mujibu ya msimuliaji wetu aliyekuwa eneo la tukio ametujuza kuwa ndege hiyo ya abiria iliyokuwa katika harakati za kutua uwanja wa ndege wa kigoma ndipo lilipotokea tatizo hilo lisilokuwa la kawaida la kupasua matairi mawili, na mpaka sasa bado hatujapata taarifa za majeruhi wala kupoteza maisha kwa yeyote aliyekuwa kwenye ndege hiyo...
 

No comments:

Post a Comment