| Diamond akiwa jukwaani. |
| Diamond akiwapa mashabiki wake burudani |
| Wacheza show wa Diamond wakionyesha uwezo wao jukwaani, |
| Diaomond akiwa na vijana wake jukwaani wakitoa burudani |
| Style zinazowabamba mashabiki |
| Weeeeh....! |
| Umeona pozi la kushika kiuno pia lilipagawisha mashabiki... |
| Diamond Bhaaaaaassssss.....! |
| Hilo nyomi sasa hata pakuweka mguu palikua hakuna |
| Mashabiki wakiwa na mzuka wa ajabu tokea mwanzo wa show mpaka mwisho... |
| Mashabiki wanatamani kummeza Diamond maana hawaamini kama ndio yeye. |
| Eti,baada ya kuimba nimpende nani huyu ndiye aliyejitokeza... |
| Hapa Mashetani yameshampanda Diamond..... |
| Kila mtu anamzuka na show |
| mnh! huyu dada nae naona alikua zaidi ya shabiki eb jitazamie mwenyewe... |
| Diamond kazi kwako... |
| Mmmh! Mtoto alimkamata Diamond kweli kweli... sijui anataka nini huyu dada.. |
| Diamond akiwakaribia mashabiki wake. |
| Yaani Intro ya Mawazo ilipoanza tu,Bhaaass! Mwanadada huyu ghafla ilikua kama kashikwa wazimu..... |
No comments:
Post a Comment