SHILOLE: AOMBA MSAADA KWA AJILI YA KUMPELEKA MWANAE INDIA KWENYE MATIBABU...!
"Watanzania hali ya mtoto si nzuri kiukweli anaendlea kuumwa anasumbuliwa zaidi na
Figo pamoja na Apendex na kwa mujibu wa doctor aliyekuwa akimtibu mtoto huyo pale hospital ya Agakhan ni kwmaba mtot anahitajika asafirishwe kwenda nchini India kwa ajili ya matibabu zaidi. Ndugu, jamaa na marafiki nawaomba msaada wenu wadhati toka moyoni kwa mwenye chochote
kidogo aweze kunichangia kufanikisha upatikanaji wa pesa ya matibabu.
Nawaomba marafiki na mashabiki wangu wote kwa ujumla kutoa ni moyo na si utajiri
chochote ulichonacho waweza nichangia kuweza kuokoa maisha ya mwanangu!
Tafadhali leo kwangu kesho kwako." Maneno hayo aliyatoa mwanadada Shilole.
No comments:
Post a Comment