![]() Katika uzinduzi wa huo alikuwa na msanii mwenzake, Masanja Mkandamizaji ukipenda unaweza kumuita mchungaji mtarajiwa na wengine walikuwa ni waimbaji wa nyimbo za dini.. Ingawa Wolper si mvaaji nusu uchi sana lakini gauni hilo lilimsitiri na kumpendeza haswa pamoja na kuwa ni mrefu na zito. Mwenyewe anasema alivaa hivyo ili kuendana na tukio husika."“Ninajua kuwa mimi ni nyota kwa sasa najaribu kwenda na matukio katika uvaaji wangu nguo, siwezi kuvaa vazi la disco kanisani au msikitini," alisema na kuongeza; "Leo hii ni uzinduzi wa albamu ya Masanja Mkandamizaji ambaye ni msanii mwenzetu nasi tumekuja kumsindikiza, nami namtukuza Mungu hata katika kuvaa kama unavyoniona nikiwa katika gauni safi tena la kiheshima,”alisema alipokuwa akihojiwa na muwakilishi wa kingjofa blog. |
Banner

FOLLOW US FACEBOOK
propertyfinder.co.tz
Sunday, July 29, 2012
VAZI LA WOLPER LASHANGAZA UMATI KWENYE UZINDUZI WA ALBUMU ZA INJILI...!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment