Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Thursday, July 19, 2012

VODACOM YAKUTANISHA BLOGGERS MAARUFU WA BONGO...!

 
Baadhi ya wadau wa masuala ya blog nchini wakiwa katika picha ya pamoja jioni hii katika hafla fupi iliyoandaliwa na Vodacom Tanzania kuwatunukia tuzo maalum, zoezi ambalo limeahirishwa kutokana na ajali ya meli iliyotokea mapema leo visiwani Zanzibar. Mpango mzima ulikuwa Serena Hotel - Dar

 
Mkurugenzi wa Masoko wa Vodacom, Kelvin Twissa (shoto) akiwa na Mmiliki wa Bongo5.Com, Mr. Luca
 
Issa Michuzi akiwa na mmiliki wa mtandao wa Zoom Tanzania.
 
Ofisa Mkuu wa Uhusiano wa Vodacom, Mwamvita Makamba akiwa na Mkurugenzi wa AIM Group, Nadeem Juma (kushoto) na mmiliki wa Hakingowi.com
 
Mzee John Kitime (kushoto) akiwa na King Kif ambao ni wadau wa blog nchini wakiwa na mwandishi Kelvin kutoka Mwananchi Communication
 
Issa Michuzi (kushoto0 akiwa na Mr. Luca wa Bongo5.Com
 
wadau mbalimbali wa blogs nchini wakiwa katika picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment