Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Saturday, July 28, 2012

WANANCHI WAZIDI KUFUNGUKA JUU YA KATIBA MPYA...!

Mwenyekiti wa Mtaa wa Mjini, Kata ya Kishapu Mjini, Wilaya ya Kishapu, Bw. Tido Nuhu akiwakaribisha wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika mkutano wa kukusanya maoni ya wananchi kuhusu katiba mpya uliofanyika Kijijini hapo.

Bi Faida Faki Kombowa Shehia ya Makombeni, Wilaya ya Makombeni, Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba akitoa maoni yake kuhusu Katiba Mpya.


Bi Siwema Shaaban Mbato, mkazi wa Kijiji cha Bwilingu, Tarafa ya Msoga, Wilayani Bagamoyo, Mkoa wa Pwani akifunguka juu ya Katiba mpya.
Akina mama wakazi wa Kijiji cha Bwilingu tarafa ya Msoga Wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani wakijisomea vitabu vinavyohusu Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania vilivyogawiwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba.

Bi Aziza Juma, Mkazi wa Wilaya ya Kishapu, Mkoani Shinyanga naye akifunguka juu ya Katiba.

Bi. Dada naye hakubaki nyuma kufunguka juu ya Katiba Mpya

No comments:

Post a Comment