Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Monday, July 16, 2012

ZOEZI LA KUWEKA MAJINA KWENYE VIBAO VYA NAMBA ZA MAGARI LAANZA RASMI TRA...!


 Kuanzia mwaka mpya wa fedha (2012-2013) Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)imeanza kusajili magari kwa kutumia majina ikiwa ni nyongeza ya kutumia namba kama ilivyokuwa imezoeleka na wengi. Pichani juu na chini ni gari la kwanza kupewa usajili huo wa kutumia jina la mmiliki wake anayeitwa DELINA.

No comments:

Post a Comment