Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Sunday, August 5, 2012

CHRIS BROWN NA RIHANA WARUDISHA MAPENZI YAO UPYAAAA.....!

Crhis Brown na Rihana wakizifaidi starehe za duniani..

Kumbe hata mbele kama bongo mpango wa kukamuana chunusi kama kawa... 

Baada ya mgogoro mkubwa dhidi ya Chris Brown na Rihana mpakaa kufikia hatua ya kutaka kugawana mali walizokuwa nao, mastaa hao sasa wameamua kuweka pembeni tofauti zao na kufungua kurasa mpyaa ya mapenzi, huku ikisemekana kuwa mtu mzima Jayz amehusika sana kuweka juhudi zake za dhati katika kuwarudisha mastaa hao kwenye mahusiano yao. Na kwa kuwadhibitishia mashabiki wao wa mziki wa R&B mastaa hao (Chris Brown na Rihana) wamefanya nyimbo ya Rihana iitwayo BIRTHDAY CAKE remix, na pia nyimbo ya Chris Brown  iitwayo TURN UP THE MUSIC remix

No comments:

Post a Comment