Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Saturday, August 4, 2012

HII HAPA RATIBA YA MASHINDANO YA KUSOMA QUR'AN...!

Kwa waislamu wote wenye uwezo wa kusoma Qur'an wanakaribishwa kuja kushirki kwenye mashindano haya yatakayofanyika pale Diamond Jubilee tarehe 8/08/2012 Kuanzia saa nane mchana. 
Kwa wale ambao hawapo tayari kushiriki kwenye mashindano pia mnakaribishwa kuja kushuhudia jinsi ambavyo mashindano haya yatafanyika
Zawadi mbalimbali zitatolewa.

No comments:

Post a Comment