Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Monday, August 13, 2012

Hiki Ndicho Diamond alichojibu alipo ulizwa ni "Ni Show ipi iliyompa Hela Nyingi Toka Aanze Mziki"...!

Katika Kipindi cha Mikasi leo Usiku Diamond Aliulizwa Swali kuwa ni show gani ambayo ilimlipa zaidi toka aanzee Music..Diamond kwa Kinywa chake  amekiri kuwa ni show ya "Diamond Are Forever Live Concert" Ambayo aliandaa yeye Mwenyewe tarehe 30 March 2012 pale Mlimani City jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment