Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Friday, August 10, 2012

Hizi hapa baadhi ya picha tamu za "The return of J Lo" Ya Sintah...!




"Sinta Says "Niliposema the return of J Lo nilimanisha, sasa mzigo upo tayari,,,mtaipata hivi karibu daaah itakuwa ni balaa,,,,,

for more picz ni jumatatu maana zinapikwa zipikike na mume halali wa Sarah xoxo, (Raqey)

ndo kwanza ninaanza sasa mpo tayari kumpokea Sintah katika movie indusrty??
Tulia hapo hapo huyu ndiye Sintah ukisikia mwingine fekeroooooooo
Mpaka imeisha nina mshukuru Mungu wakati wa kwenda Italy for vacation una karibia lolest
Picha shukurani kwa Martin Kadinda (ze manager tanica is yours lolest"

No comments:

Post a Comment