Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Wednesday, August 22, 2012

Jishindie Vodacom WiFi Router Bureee...!


Unaweza kujishindia Vodacom WiFi Router kwa kubofya link hii http://bit.ly/ShDMpe kisha fuata maelezo ya namna ya kushinda router hii. WiFi Router ni kifaa kwa matumizi ya Intaneti..Modem ambayo ni wireless na yenye uwezo wa kuunganisha vifaa zaidi ya kimoja kwa matumizi ya Intaneti.
Unaweza kuunganisha simu, Computer, laptop, tablet na printer kwa wakati mmoja na kutumia Intaneti. Furahia Miezi mitatu (3) ya Intaneti bureee......!

No comments:

Post a Comment