Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Thursday, August 2, 2012

OKWI AFUZU MAJARIBIO AUSTRALIA...!

·         Kuna taarifa kuwa Emmanuel Okwi amefuzu majaribio yake ya kucheza mpira katika timu ya FC Red Bull Salzburg ya Austria na inasubiriwa majadiliano ya uhamisho wake na Klabu yake ya sasa Simba Sports Club. Bado haijajulikana Simba watavuta dau gani kutokana na kumuuza Okwi tutakujulisha habari zaidi zikipatikana. endelea kutembelea hapaaa..

No comments:

Post a Comment