Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Thursday, August 2, 2012

SHUHUDIA PICHA ZA DIAMOND NA WEMA WAKILA BATA KWENYE ZIWA DUTIGITE...!


Nani alisema Wema hamtaki Diamond?? Nani alisema Diamond na Wema wameachana?? Nani alisema Diamond anamkejeli Wema wakati akiwa jukwaani na hususani anapotambua fika kuwa Wema yupo eneo ambalo anafanya show? Nani alisema Diamond na Wema hawawezi kurudiana?  Majibu haya hapa... Baada ya pilika pilika za mchana kutwa hatimaye jioni watu hufunga mahesabau,,, na ndivyo ilivyokuwa kwa wawili hawa wapendanao "BAADA YA KU'MAKE HEADLINE KWENYE MEDIA KWA KIPINDI KIREFU KIDOGO SASA DIAMOND NA WEMA WAMERUDISHA MAPENZI YAO UPYAAAAA,,,,, na zifuatazo ni picha zikionyesha walivyokuwa wakila bata kwenye ziwa Dutigile.No comments:

Post a Comment