Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Thursday, August 23, 2012

UVUNJWAJI WA NYUMBA WASABABISHA MABOMU NA RISASI KURINDIMA KARIAKOO...!

 
Askari wa kikosi cha kutuliza ghasia (FFU) akifyatua bomu la machozi.

 
Vijana wakirusha mawe.

 
Hali ikiwa tete eneo hilo.

 
Watu wakikimbia ovyo kusalimisha roho zao.

 
Askari kanzu wakilinda usalama eneo la tukio.

 
Umati wa watu na wafanyabishara walioshindwa kufanya biashara zao wakiangalia hali ya mambo.

 
Soko kuu la Kariakoo likiwa limefungwa kufuatia machafuko hayo.
 
MAENEO ya Kariakoo jijini Dar es Salaam leo yalikuwa hayakaliki kufuatia vijana waliokuwa wakipambana na polisi wakipinga uvunjwaji wa nyumba iliyokuwa ikimilikiwa  na swahiba wao aliyetajwa kwa jina la Shaban Hassan. Nyumba hiyo imekabidhiwa kwa  Samir Sadiq baada ya kushinda kesi Mahakama ya Ilala jijini.

Source: globalpublishers

No comments:

Post a Comment