Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Monday, September 3, 2012

ASASI YA CHILDREN'S RIGHT, CCR ARUSHA WAWAJULISHA WADAU WA WATOTO JINSI YA KUPATA HABARI ZAIDI ...!

 
Taarifa za CCR za mitandao ya kijamii.
Marafiki zetu,
Tumefungua page zetu kwenye mitandao ya kijamii kwa ajili ya kuendelea kutoa elimu kuhusu unyanyasaji kwa watoto na kusambaza ujumbe wetu wa kulinda watoto. Kwa hiyo, tunapenda kuwataarifu kuhusu page zetu ili muweze kuzitembelea na kuwataarifu ndugu, jamaa na marafiki wenu:
Tafadhali "like" Facebook page yetu, "follow" CCR kwenye Twitter na "subscribe" page yetu ya YouTube. Kufanya hivyo kutatusaidia sana kuweza kuwasiliana na watu wengi zaidi. Ahsanteni sana!
- Wafanyakazi wa CCR

CCR Social Media Information
Dear friends of CCR,
We have begun using social media websites in order to continue raising awareness about child abuse and to spread our messages about child protection. As such, we would like to inform you about these websites so that you can visit and share them with colleagues, friends and family members:
Please "like" our Facebook page, as well as following us on Twitter and subscribing to our YouTube channel. This will help us greatly in reaching as wide an audience as possible for our programming. Thank you!
- The CCR team

 

CCR is a strong and proactive group of principled institutions and individuals who are passionate about the rights and welfare of children. We provide a vibrant and innovative forum to promote the accountability of duty bearers towards children, to replicate good practice, share learning and catalyze adherence to the United Nations Convention on the Rights of the Child (UNCRC). Visit our website www.ccr-tz.org

No comments:

Post a Comment