Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa Mh.Agness Hokororo(kushoto) akiwa karibu na mama mzazi wa Nyang'ana Mkelecha wakati wa ibada ya mazishi katika Makaburi ya mji Ruangwa.
Nyang'ana ni ni mmoja kati ya wachimbaji walifukiwa na kifusi na kupoteza maisha yao katika machimbo ya Nandagala Ruangwa Lindi.
Mh.Agness Hokororo akikabidhi rambirambi ya Tshs 100,000 kwa wafiwa
Marehemu Nyang'ana Mkelecha ni mzaliwa wa Bunda - Musoma
Alizaliwa mwaka 1968 katika kijiji cha Isenye Bunda na kupata elimu ya msingi kijijini hapo, ameacha wake wawili na watoto watatu
Alizaliwa mwaka 1968 katika kijiji cha Isenye Bunda na kupata elimu ya msingi kijijini hapo, ameacha wake wawili na watoto watatu
Wachimbaji na Wananchi wakichangisha pesa kwa ajili ya majeruhi mmoja aliyenusurika kifo (Oswald) aliyelazwa Ndanda Hospital baada ya kuvunjika miguu.
No comments:
Post a Comment