Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Sunday, September 16, 2012

PICHA ZA ROMA NA MAMA YAKE NA ALICHO KIANDIKA KWENYE FACEBOOK...!

Roma na mama yake (mama akiwa amevaa shades za mwanae)

Ijumaa iliyopita sept 14, 2012 msanii wa hip hop Roma aliweka status hii kwenye page yake ya facebook:

"ON MA WAY TO MOSHI SAME UPARENI!!! KWA KUMBUKUMBU YA BABA R.O.M.A!!!! WITH MA NUMBER 1 FUN BESIDE....MUNGU MKUBWA TWENDE SALAMA TUMALIZE SALAMA NA KISHA TURUDI SALAMA!!!...na iwe hivo!!"

Na leo dakika 44 zilizopita amepost:
"WE 'V DONE @ MOSHI SAME.......THANX GOD NA ASANTE WOTE KWA KUWA PAMOJA NAMI/NASI KATIKA USHIRIKIANO!!! NA HILO NDILO TULILOAGIZWA NA MUNGU!!! TUMEMALIZA SALAMA NA SASA TUNJIANI KURUDI HOME TANGA NA DAR......lov u ma pipo!!! NB. thatz ma maam!!! "

No comments:

Post a Comment