Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Wednesday, September 5, 2012

TIGO YATANGAZA RASMI KUDHAMINI ‘MAMA AFRICA CIRCUS 2012’...!

Promotion, Sponsorship & PR Specialist wa kampuni ya Simu za Mkononi za TIGO Bw. Edward Shila (katikati) akifafanua kuwa ‘Tigo Mama Africa Circus’ itatoa burudani kati ya tarehe 27 Septemba mpaka 04 Novemba mwaka huukatika kituo cha Manicom kilichopo katika viwanja vya ukumbi wa sinema Mwenge. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Manicom Entertainment  Bw. Costantine Magavilla na kulia ni Afisa Mahusiano wa TIGO Bi. Alice Maro. 
Costantine Magavilla,  Afisa Mahusiano wa TIGO Bi. Alice Maro na Edward Shila wakifurahia kwa pamoja na sanamu la ‘Tigo Mama Africa Circus’.

No comments:

Post a Comment