Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Thursday, September 6, 2012

UJENZI WA BARABARA KWA AJILI YA MABASI YAENDAYO KWA KASI UNAENDELEA KWA KASI...!Ujenzi wa barabara kwa ajili ya mabasi yaendayo kasi unaendelea kwa kasi kila kona ya jiji la Dar es salaam kama taswira hizi zilizonaswa leo maeneo ya Ubungo zinavyoonesha jinsi ambavyo mkandarasi anataka kukamilisha kazi nyake kwa haraka.

No comments:

Post a Comment