Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Monday, October 8, 2012

AJALI MBAYA YA PIKIPIKI YAUA WAWILI PAPO HAPO ...!

 
Dereva wa Bodaboda na abiria wake, ambao hawakuweza kufahamika majina yao kwa haraka, wakiwa wamelazwa pembeni ya barabara ya Bagamoyo eneo la Makongo, baada ya kugongwa na gari aina ya Starlet yenye namba za usajiri T 838 BKB, wakati wakiwa katika Pikipiki yao yenye namba za usajiri T 491 BFY, na kufariki dunia papo hapo. Ajali hiyo ilitokea jana asubuhi, Pichani ni raia akijaribu kutambua mwili wa marehemu katika ajali hiyo.

No comments:

Post a Comment