Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Sunday, October 21, 2012

DEREVA AINGIZA BUS MTARONI KISA NYIMBO ZA CCM ZINAMKERA...!


Basi lililokuwa limewabeba wanachama wa CCM ,linavyoonekana baada ya ajali hiyo.
 
Katibu wa NEC,akimfariji mmoja wa majeruhi waliokuwa kwenye bus ambalo ajali yake imesababishwa makusudi na dereva ambaye aliwaambia yeye Chadema na asingependa kusikia nyimbo za CCM.
Chanzo:hakingowiblog

No comments:

Post a Comment