Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Tuesday, February 12, 2013

HEMED aka PHD ASEMA HAKUNA KAMA YEYE KWENYE BONGO MOVIE WALA BONGO FLAVOUR...!

PHD
Hemed katika pozi
  Msanii wa filamu na muziki nchini tanzania Hemed Suleiman PHD amesema ana amini kuwa yeye ndiye msanii wa kwanza handsome kuliko wote ndani ya bongo, akipiga stori na chanzo chetu makini  hemed ameweka wazi kuwa anajiamini katika uchezaji anajiamini katika uzuri na anajiamini katika uvaaji pia 
Usher Raymond wa Tz
Hemed ameendelea kusema kuwa anamkubali sana msanii kutoka marekani usher raymond na ndio sababu hata mashabiki wake humuita  usher raymond wa bongo

Kaka unajua hapa bongo ukianzia katika movie muziki huwezi kumpata kama mimi na ndio maana nikiingia sehemu unajua kabisa nimefika maana watu wote hugeuka kunitizama na hii inatokana na u handsome na jinsi navyonyuka pamba alisema hemed.

No comments:

Post a Comment