Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Monday, February 11, 2013

NIGERIA NDIO MABINGWA WA KOMBE LA MATAIFA YA AFRICA 2013...!


KIKOSI cha Super Eagles kilichofanukiwa kuutwaa ubingwa wa mataifa ya Afrika mwaka 2013 baada ya kuwagaragaza bukinafaso kwa bao moja kwa sifuri...

Kikosi cha timu ya Nigeria kiliongozwa na kapteini wake Yobo Imetwa, aliyehakikisha amekionoza kikosi hichi mpaka kuweza kulitwaa kombe hilo katika ardhi ya Afrika kusini.Wachezaji wa Nigeria wakishangilia Moja ya Magoli kwenye Michuano
ya Mataifa ya Afrika 2013, yaliyofanyika Nchini Afrika Kusini..


Kombe lililokuwa likiwaniwa na mataifa ya Afrika..

PONGEZI NYINGI KWA KIKOSI KIZIMA CHA SUPER EAGLES...

No comments:

Post a Comment