Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Sunday, February 10, 2013

UPDATES: HATIMAYE WAPINZANI WAPATA KIBALI CHA KUFANYA MAANDAMANO YA AMANI YA KUWAPOKEA WABUNGE WA UPINZANI JIJINI DAR.. HII HAPA RATIBA ...!

Wakuu,

Wapinzani wamepata kibali na kuhakikishiwa Ulinzi kwenye maandamano yao ya Amani yanayotarajiwa kufanyika muda si mrefu.


Ruti imebadilishwa na sasa baada ya mapokezi ya Wabunge maeneo ya Ubungo (Saa sita mchana) yataelekea Kituo cha Oilcom (kwa Sokota) na ndipo maandamano yatakapoanzia badala ya TAZARA kama ilivyokuwa imepangwa awali.


Maandamano yataishia kwenye viwanja vya Temeke Mwisho.

More updates tembelea ~> http://j.mp/YOffdB

No comments:

Post a Comment