Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Sunday, April 21, 2013

LADY JAY DEE: "NAAMINI KABISA MUNGU SIO RUGE WALA KUSAGA. ATANISMIAMIA KWENYE HILI #CONFIDENCE."

Baada ya mafumbo mengi na vijembe huko twitter na bbm hatimaye mwandana komandoo na super star Lady Jay Dee ameamua kufungua na kutaja majina ya hao watu wenye beef nae kupitia ukurasa wake wa twitter. Jide amefungua na kupodt yafuatyao. 
Dah naskia jana kwenya interview yake na TBC alimchana Ruge live, tunajaribu kuifuatilai interview hiyo na tutawaletea hapa live kila kitu alicho kiongela super star huyo. Stay tuned!

No comments:

Post a Comment