Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Tuesday, May 21, 2013

Prof Jay amejiunga na chadema mchana huu...!

BREAKING NEWS : Prof. Jay ajiunga CHADEMA

Msanii mkongwe wa muziki wa kizazi kipya maarufu kama Bongo Fleva, Joseph Haule (Prof. Jay) amejiunga rasmi leo na chama cha CHADEMA.
 
 
Hizo ni baadhi ya picha zikimuonesha Prof. Jay akipokea kadi ya CHADEMA na kujiunga rasmi na chama hicho au kuvaa gwanda kama wasemavyo wenyewe. — at Bungeni Dodoma.


No comments:

Post a Comment