Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Friday, May 10, 2013

SOMA MAJADILIANO YA ZITTO KABWE AKIMSHAWISHI ADAM NDITI ANAYECHEZA CHELSEA KUJA TAIFA STARS...!


ninahamu ya kuja kuchezea taifa stars ila kwanza nataka nipate experience 

 SWALI
salaam Adam, lini utajiunga ?
 JIBU
halafu hatakama nikija niwe na uwezo wa kusaidia timu kama nitaitwa kwasababu ninahamu ya kuja kuichezea taifa stars

ZITTO KABWE AKASEMA
 
ninakushauri ushiriki nasi katika kampeni ya maana lazima tupate kila talent ya Tanzania
 
nakutakia Kila la kheri katika juhudi zako. Bidii na uhodari vinalipa sana

No comments:

Post a Comment