Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Friday, June 7, 2013

Exclusive:Check Picha za Maandalizi ya Steji Inavyotengenezwa Kwa Ajiri ya Tuzo za Kill Music Award Ndani ya Mlimani City..!

Kesho ndio siku yenyewe ambayo wasanii waliotajwa kuwania tuzo za mwaka huu za muziki wa Tanzania, Kilimanjaro Tanzania Music Awards, KTMA watajua hatma yao. Tuzo za Kili zitatolewa kesho June 8 kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam. Hizi ni picha za jinsi maandalizi ya jukwaa na ukumbi yalipofikia.


 Mafundi wa TV itakayorusha matangazo live wakiweka sawa mitambo yao

 Sound check

 Hivi ndivyo maandalizi yanavyoendelea


 Muonekano wa nje ya ukumbi
 Mafundi wakiziweka sawa cranes za camera
YOU MIGHT ALSO LIKE THIS

No comments:

Post a Comment