Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Monday, June 3, 2013

MAREHEMU ALBERT MANGWEA AAGWA NCHINI AFRIKA KUSINI, MWILI WAKE KUWASILI KESHO KWA MAZISHI .BOFYA HAPA TUKUUNGANISHE MOJA KWA MOJA SAUZ

                                   R.I.P COWBOY
  Jeneza lenye Mwili wa Mfalme wa Freestyle 
                        Albert  Mangwea

             Shughuli ya kuaga mwili ikiendelea muda huu                                 nchini South Africa.
 
Msanii Bushoke kushoto, Moja ya watu walioko bega kwa bega
kusimamia mipango ya kuaga mwili
nchini South Africa.

Kinjeketile katikati akiwa na watanzania waishio nchini South Africa.

No comments:

Post a Comment