Barua ya Wazi kwa WaTanzania
Kuhusu Wanyrwanda Nchini
Kuhusu Wanyrwanda Nchini
Imeandikwa na Mchungaji Christopher Mtikila
MAANGAMIZI YA KUTISHA YA WANANCHI WA
BULIGI
(Wanyarwanda wahusika na unyama dhidi ya
Wasukuma)
Hii ni Taarifa ya kuteketezwa zaidi ya nyumba
500 za wananchi wa kabila la Wasukuma kwa
moto, pamoja na tani nyingi za mazao yao
ambayo ni pamoja na mpunga, mahindi,
maharagwe, mtama, dengu, uwele, serena,
pamoja na mali zao zingine, katika eneo liitwalo
Buligi, katika Wilaya ya Muleba. Unyama huu
wahusika wamejaribu kuuficha kwa jina la
‘Opresheni Okoa mazingira’.
Ni lengo la Katiba ya Nchi yetu na Sheria pamoja
na taarifa ifuatayo, kwamba wote waliohusika na
maangamizi haya waadhibiwe vikali, na wananchi
wote waliofanyiwa unyama huu ni lazima
walipwe fidia za mali zao na mateso ya kutisha
waliyopata. Baada ya kuchomewa nyumba zao
na mali zao zote wananchi wengi wamelundikana
makanisani, na wengi wako maporini wakikimbia
unyama wa kutisha na kuporwa mali zao. Vijiji
vilivyoteketezwa ni pamoja na Nyamiranda,
Itunzi, Kasharara na Kiteme. Uharamia
uliendelea mpaka maeneo ya Karagwe na
Biharamulo kama alivyoeleza Mkuu wa Mkoa wa
Kagera katika vyombo vya habari, kama gazeti la
Mtanzania Toleo nambari 7142 la tarehe
17/11/2012. Utetezi wa Mkuu wa Mkoa wa
Kagera Col. Fabian Masawe wa maangamizi ya
kutisha ya Wasukuma, kama ulivyokuwa ule wa
Waziri wa Ardhi Profesa Anna Tibaijuka ambaye
pia ni Mbunge wa Muleba Kusini, kwamba
ilikuwa opresheni maalum iliyolenga kuondoa
wahamiaji haramu wenye maelfu ya ng’ombe
katika Hifadhi ya Taifa ya Buligiuna ukweli. Lakini
Wasukuma si wahamiaji haramu, kwa sababu ni
wazawa katika nchi yao, na hayo maelfu ya
ng’ombe katika hifadhi si ya Wasukuma bali ni
ya Watusi wa Rwanda.
KIINI CHA MATATIZO YA WATUSI DUNIANI
Hakuna asiyejua kuwa malengo makuu ya
kuanzishwa Umoja wa Mataifa ni pamoja na
kulinda haki na usawa wa binadamu wote
ulimwenguni, ili idumu amani na kuleta
maendeleo katika kuboresha maisha ya
binadamu. Ndiyo maana ile sera ya Makaburu ya
udhalilishaji wa mtu mweusi au ubaguzi wa rangi
waliyoiita apartheid ilipigwa vita na dunia yote,
mpaka ikatokomezwa. Hata ushujaa wa Nelson
Mandela unaopita umaarufu wa kiongozi
mwingine yeyote duniani, aliupata kwa sababu
ya uhanga wake katika kutetea usawa wa
binadamu wa rangi zote duniani. Lakiniapartheid
ya Makaburu haikuweza kuufikia ushetani wa
Watusi, jinsi wanavyowadhalilisha Wahutu na
Wabantu wengine, kwa imani yao chafu sana
kwamba wao eti waliumbwa kwa ajili ya kutawala
tu, na kwamba Wahutu waliumbwa kwa ajili ya
kuwa watumwa wao! Ni makufuru yanayojulikana
wazi ya Watusi kuwatema mate Wahutu au
Wabantu wengine kwa kinyaa kama vile ni mavi
mbele zao. Na imani yao hii ya kishetani ndilo
chimbuko la mbinu na mikakati yao yote ya
kutawala siyo tu Maziwa Makuu bali hatimaye
hata Afrika yote ya ‘watumwa’ wao!Tabia ya
Watusi ya kula wao kwanza, halafu kuwatupia
makombo watumwa wao (Wahutu), tena baada
ya kuyatemea mate na makohozi, ni historia
inayojulikana na kila mzawa wa Maziwa Makuu.
Hata maendeleo yalipozidi kutowesha giza hili,
bado wanawake Watusi walilazimika kudumisha
udhalili wa Wabantu kwa kuolewa na wale wenye
mali lakini mimba wapate kwa Watusi wenzao,
ikibidi hata kwa ndugu zao wa damu kama
hakuna Watusi wengine karibu. Historia
itamuenzi shujaa Gregory Kayibanda wa Rwanda
kuliko inavyomuenzi Nelson Mandela wa Afrika
Kusini, kwa kutokomeza ile apartheid chafu
kupindukia ya Watusi nchini Rwanda mwaka
1959. Ukweli ni budi uheshimiwe na dunia
kwamba Watusi wengi walikimbia kutoka Rwanda
kufuatia mapindizi yale, kwa sababu ya kukwepa
balaa ya kuwa chini ya watumwa wao!
Watusiwalikimbilia Burundi na Tanganyika kwa
baba yao Julius Nyerere, kujipanga kwa ajili ya
“kurudisha ubwana wao juu ya watumwa wao”
Rwanda. Kwa imani ya kishetani ya Watusi,
Watanganyika kwao wao ni mataahira tu kama
Wabantu wenzao yaani Wahutu. Hata bila
kupayuka Watusi wanarithishana imani kwamba
sisi tuliumbwa kwa ajili ya kuwa watumwa wao.
Ubwana wa Watusi uliimarishwa kwa
kupandikizwa utwana katika mioyo ya
Watanganyika, wa kuwaona Watusi kuwa bora
kuliko Wahutu pamoja na hata sisi wenyewe! Hali
hii ndiyo iliyowezesha Watusi kujipenyeza katika
sehemu zote nyeti za utawala wa Nchi yetu,
pamoja na uhodari wao katika matumizi ya
rushwa ya mapesa na chambo cha wanawake zao
(the Tutsi sexual diplomacy). Ndivyo Watusi
walivyofanikiwa hata kuiteka kifikra jumuiya ya
kimataifa, ikabariki na kuwasaidia kuangamiza
Wahutu zaidi ya milioni sita, na hata kugeuza
kibao kuhusu genocide ya Rwanda kwamba
Wahutu ndio walioangamiza Watusi! Ndiyo
maana nchi yetu ilipokuwa na wakimbizi wa
Kitusi na wa Kihutu, Watusi walipendelewa kwa
kuhudumiwa kama wafalme na kuandaliwa
kurudi “kuikomboa” Rwanda. Kwani ingawa
Rwanda ilikuwa na utawala wa kidemokrasi wa
Wahutu walio wengi kwa asilimia 85%Watusi
wakiwa asilimia 14% tu, ni haramu Watusi kuwa
chini ya Wahutu kwavile eti ni watumwa wao! Ni
kweli kwamba matokeo ya ufisadi nautwana wa
watawala wetu wanaoamini katika ubwana wa
Watusi, ni pamoja na kufurahisha Watusi na
baba yao Nyerere kwa kuhusika kwa serikali yetu
katika yafuatayo:
1. Maangamizi ya Wahutu zaidi ya 6,000,000,
2. Uvamizi wa Jamhuri ya Rwanda kupitia Uganda
na Burundi, ambapo maandalizi kwa sehemu
kubwa yalifanyikia nchini mwetu kwa mkono wa
Serikali ya CCM. 3. Kuhusika kikamilifu na mauaji
ya kinyama ya marais watatu Wahutu wa Burundi
na Rwanda yaani Melchior Ndadaye, Juvenal
Habyarimana na Cyprien Ntaryamira pamoja na
ujumbe wao wote, na ushetani mwingine wa
kutisha.
4. Kujiuza utumwani kwa Watusi, na kutumika
kuliingiza eneo la Maziwa Makuu katika Himaya
yao, kwa kuwasaidia kuingia katika Jumuiya ya
Afrika Mashariki, wakati hawana sifa kabisa
kulingana na Mkataba wa Uundaji wa Jumuiya
(EAC), kwa unyama wa ‘apartheid’ na genocide
yao.
5. Kusaidia uvamizi wa DRC uliofanywa na
Kagame na Mseveni, watawala wetu wakaivika
aibu kubwa Nchi yetu kwa kukataa kushiriki
katika Jeshi la SADC (SADC Alliance) la kusaidia
ndugu zetu dhidi ya maharamia, Nchi yetu
ikaongopea dunia bila aibu kwamba eti haiko
upande wowote kati ya wavamizi na mnyonge
aliyevamiwa!
6. Kuwarudishia RPF Wahutu takriban milioni
moja kwa unyama usiosemeka, waliokuwa
wameyakimbia mauaji ya kinyama ya RPF baada
ya kuvamia nchi yao, RPF wakawapokea na
kuwaangamiza wote, na kumwaga maiti zao kwa
maelfu katika mto Kagera, zikawa zinafunika
Ziwa Victoria mpaka General Mboma alipotoa
Tamko la kuvamia Rwanda kukomesha ushetani
huu wa RPF, kama wasingeacha unyama huo
mara moja.
Nchi yetu inakabiliwa na kisasi cha Mwenyezi
Mungu! Na ishara tayari zinaonekana! Kuna
kuacha upumbavu na kutengeneza na Mwenyezi
Mungu, ama mapigo makali kuliko yaliyoipiga
Misri, yatakayosimuliwa vizazi vyote! Kwa ufisadi
na utwana wa watawala wa nchi yetu kwa
Watusi, bila chembe ya aibu wala hofu kwa
Mwenyezi Mungu waliikaribisha katika ardhi yetu
ICTR, ikiwa nyenzo maalum ya kuwasaidia Watusi
kuangamiza Wahutu wote wenye uwezo kiuchumi
na kifikra duniani! Kenya iliikataa ICTR katika
ardhi yake, kwa kumwogopa Mungu kwa sababu
ni nyenzo ya genocideiliyoangamiza mamilioni ya
Wahutu, ikawafuata mpaka na wale milioni 2.5
waliokuwa wamekimbizia uhai wao Mashariki ya
Congo, na kuwateketeza kinyama! Kupenyezwa
kwa Watusi katika ngazi zote nyeti za utawala wa
nchi yetu kumewezesha Utusi kuteka nyara sera
za nchi yetu zitumikie maslahi ya Watusi, kwa
gharama ya heshima ya utaifa wetu na maslahi
ya nchi yetu. Na siyo siri kwamba msingi wa
laana hii yote iliyoonywa na Mwenyezi Mungu
katika Kumbukumbu la Torati, ulijengwa na
dikteta Julius Nyerere, ambaye leo anawekwa
mahali pa Mwenyezi Mungu na kufanyiwa ibada
ya ‘ubaba’ wa Taifa! Utekelezaji wa ndoto ya
Nyerere ya kuweka eneo lote la Maziwa Makuu
chini ya Himaya ya Watusi unasimamiwa na
vijana wake, madikteta Yoweri Museveni na Paul
Kagame aliyeangamiza mamilioni mengi ya
binadamu duniani kuliko Adolf Hitler.
Propaganda za ‘Jumuiya au Shirikisho la Afrika
Mashariki’ zinazopigiwa debe kwa nguvu na hawa
Watusi, ni katika ujenzi wa hiyo Himaya yao.
Dikteta Yoweri Museveni ametangaza mara
kadhaa haki yake ya kustahili kuwa Rais wa
kwanza wa shirikisho la Maziwa Makuu (Himaya
ya Watusi), na anacho kikosi cha majasusi zaidi
ya 400 ndani ya Nchi yetu, yanaoiyeyusha nchi
yetu kwa ajili ya kumezwa katika Himaya hiyo, na
mafanikio yanaonekana kwa jinsi utawala wetu
wa CCM unavyonyenyekea Watusi na
kujidhalilisha kwao.
KUMEZWA KWA DRC KATIKA HIMAYA YA
WATUSI
Mwuaji wa kutisha Paul Kagame alikwishaikamata
DRC baada ya kufanikiwa kumwua Rais Laurent
Kabila, akampenyeza madarakani Mnyarwanda
Hypolite Adrien Christophe Kanambe kwa jina
bandia la ‘Joseph Kabila’. Wauaji wa Rais Laurent
Kabila baada ya kutoroshewa Rwanda
walikimbiziwa hapa, ambapo walihamishiwa
Norway kimya kimya. Mnyarwanda “Joseph
Kabila” anayetawala Jamhuri ya Kidemokrasi ya
Congo kama Gavana wa dikteta Paul Kagame, ni
ndugu wa damu wa Mkuu wa Majeshi ya
Kagame, yaani James Kabarebe, ambaye pamoja
na Kayumba Nyamwasa ndio waliosimamia yale
mauaji ya kutisha ya wale Wahutu milioni 2.5
waliokuwa wamekimbilia DRC, ilipovamiwa nchi
yao na wauaji wa RPF. Ni sera ya Rwanda
kuhakikisha kuwa DRC haiwi na Jeshi imara,
mpaka hapo mkakati wa Himaya yao
utakapokamilika. Ndiyo sababu maafisa wa juu
7,000 wa Jeshi la DRC ni Wanyarwanda. Hypolite
Kanambe (Joseph Kabila) anatumikia maslahi ya
Rwanda kwa uzalendo wa hali ya juu, na Rwanda
inapovamia DRC pilika za Hypolite A. C. Kanambe
huwa ni usanii tu wa kuhadaa ulimwengu.
Vinginevyo lazima DRC ingewapa silaha askari
Wahutu waliojichimbia Congo, ambao wana
uwezo mkubwa sana wa kuutokomeza unyama
wa Watusi. Hata uvamizi wa Rwanda wa RPF
ulifanikiwa kwa kutanguliza vikwazo vikali sana,
vilivyohakikisha kuwa majeshi ya Hayati Rais
Habyarimana hayawi na silaha.Historia ni budi
iwe sahihi, kwamba vijana wa Nyerere yaani
Museveni na Kagame walivamia Zaire kwa
maelekezo ya baba yao, bila hayati Laurent
Kabila, kwa malengo ya kupanua Himaya yao na
kuteka tani za dhahabu na madini mengine
mengi ya thamani Gbadolite, Kilomoto, Kinshasa,
Kisangani na kwingine, kwa ajili ya kujipatia
mabavu ya kiuchumi ya kupanulia Himaya yao,
na kugharamia propaganda kali inayohadaa
jumuiya ya kimataifa. Dunia ilipoanza kupigia
kelele uvamizi huo, ndipo Nyerere alipomtafuta
Laurent Kabila haraka, zikiwa zimepita wiki mbili
baada ya uvamizi kuanza, na kumtanguliza yeye
mbele katika kuhadaa ulimwengu, kwamba ni
Wakongo wenyewe walikuwa wanaikomboa nchi
yao kutoka kwa dikteta Mobutu! Uvamizi
ulipoingia Kinshasa Kabila aliwageuka Watusi
kizalendo, na kuwaambia sasa warudi kwao
wawaachie Wakongo nchi yao. Kwani
aliyekusudiwa na Watusi kuwa gavana wa
Rwanda wa koloni hilo ni Bizimana Karahamheto
au ‘Bizima Karaha’ kwa jina la hadaa. Uporaji wa
kutisha wa utajiri wa DRC ndio mtaji wa jeuri
yote ya Kagame leo, ya kuchezea amani ya
Maziwa Makuu, na kusambaza maelfu ya
majasusi katika nchi za kusini mwa Afrika,
kuzifanyia kazi chafu ili hatimaye zimezwe katika
Himaya yao, mbali ya kugharamia kikosi chake
cha Escadron de la mort kinachoua wapinzani
wake popote walipo duniani. Siri ya mkakati wa
Nyerere wa Himaya ya Watusi ilionekana tangu
alipotaka kuchelewesha uhuru wa Tanganyika, eti
mpaka majirani wapate wao ili mkakati
ufanikiwe, uhuni ambao ulishindwa kuuhadaa
ushujaa kama wa Jomo Kenyatta. Mzee Jomo
Kenyatta alipogundua jinsi Nyerere
anavyochezea uhuru wa wana wa Tanganyika,
hatimaye akaunajisi kwa ‘Muungano’ kwa ajili ya
maslahi ya Wamarekani katika vita baridi, alilaani
kwamba “Hakika Nyerere anatawala maiti” Ndiyo
maana ni Watanganyika peke yao duniani
wasiojali uhuru wao, wala hatima yao na vizazi
vyao vijavyo, wala maslahi ya Nchi yao! Hii ni
baada ya kupigika vizuri vichwani mwao ili wawe
kama makondoo ya mtawala, waweze kuvikwa
kwa ulaini kongwa la utumwa kwa Watusi, kwa
maslahi ya kifisadi ya watumwa walio
madarakani, wanaouza utu wao na hatima ya
Nchi yao kwa utamu wa tende na halua,
zinazomung’unyika mara moja na kupotea! Saa
ya ukombozi ni sasa! Ndivyo utaahira wetu
unavyoonekana kwa dunia yote ya wenye akili
kuhusu kongwa la utumwa la Watanganyika
liitwalo “Muungano”, lenye maslahi ya kifisadi ya
watwana wachache sana wanaotawala, kama si
mmoja tu, lakini kwa gharama ya Uhuru wa
Watanganyika, heshima yao na utambulisho wao
kama Taifa takatifu la heshima tangu katika
Unabii wa Mwenyezi Mungu, tena kwa gharama
ya raslimali za Watanganyika na matrilioni ya
fedha ya damu yao! Utaahira wetu sisi
Watanganyika unaonekana zaidi baada ya
Zanzibar kujitoa rasmi katika huo ‘muungano’
kikatiba, ambapo kwa ajili ya maslahi ya kifisadi
watawala wetu wanafumbia macho ukweli
kwamba muungano umebatilika! Na kwa ujinga
kama wa kuku anapodhani haonekani kwavile
amefunika macho yake kwa bawa lake, hawa nao
wamekazana kuudanganya ulimwengu kwamba
muungano bado upo, na hata kulazimisha raia
waukiri kiwendawazimu usanii huo! Lakini ukweli
ni kwamba baada ya Zanzibar kujitoa rasmi yaani
kikatiba katika muungano, Wazanzibari ni
wachache sana mafisadi na wasaliti waliohongwa
madaraka watetee bila haya usanii wa muungano
batili, kwa maslahi yao ya kibinafsi, huku
wakisingizia maslahi ya ukupe wa Taifa lao
(parasitic advantages) katika damu ya
Watanganyika.. Kama chatu anavyomvunjavunja
mnyama ili awe rahisi kumezeka, ndivyo Nyerere
alivyowahasi kifikra Watanganyika na kuwafisha
ari ya ukombozi wao na utaifa wao, mpaka kwa
kafara yamwenge, ili wawe rahisi kuvishwa
kongwa la utumwa la Watusi. Upofushaji wa jinsi
hii huua kabisa uzalendo ndani ya dhamiri ya
kila raia katika nchi, na kuwaacha wananchi
katika minyororo ya woga tu akilini mwao,
badala ya uhanga kwa ajili ya Taifa lao.
KAGAME NA MUSEVENI - HATARI SANA KWA
TAIFA LETU!
Uharamia anaoufanya Kagame kule Mashariki ya
Congo hapa kwetu alifanikiwa siku nyingi. Tofauti
ya DRC Mashariki na mikoa yetu ya Kagera na
Kigoma ni kwamba wenzetu wanayo hata majeshi
ya mgambo ya uzalendo wao yanayotetea ardhi
yao na uhuru wao, kama vile Mai Mai. Lakini sisi
tuliuawa kabisa uhanga wetu kwa ajili ya Nchi
yetu. Tumebaki kuwasujudia wageni wanaoteka
na kuipora nchi yetu, na kututia utumwani katika
nchi yetu wenyewe. Hii ndiyo raha ambayo
Nyerere aliwaandalia Kagame na Mseveni kwa
Watanganyika. Kagame tayari ameingiza katika
Nchi yetu Wanyarwandazaidi ya 35,000 wenye
silaha, wengi wakiwa katika mapori ya Hifadhi ya
Taifa ya Buligi na maelfu ya ng’ombe
waliowaingiza kutoka kwao Rwanda na Uganda.
Kwani kule kwao wamejiwekea sheria kali ya
kuokoa mazingira yao, kwamba ni marufuku mtu
kumiliki zaidi ya ng’ombe tano (5). Kwahiyo
mamia ya maelfu ya ng’ombe zao wameziingiza
katika ardhi yetu kwa njia za porini, na wapo
Wanyarwanda wenye ng’ombe mpaka 10,000
mtu mmoja ndani ya Nchi yetu. Maelfu mengi ya
ng’ombe hao wa Wanyarwanda wanajulikana
kuwa mali ya dikteta Paul Kagame mwenyewe na
mawaziri wake, na wengine ni mali ya dikteta
Yoweri Mseveni, wengi wakiwa hata na mihuri ya
NRA! Mbali ya Hifadhi ya Taifa ya Buligi, maelfu
mengi ya ng’ombe wao wamewaswagia katika
mapori yetu ya Kasindaga, Katete, Kinesi
(Karagwe), Nyakerera, Kyobuheke na Misambya
na kwingineko, ambako Wanyarwanda
wamejikatia mabuloku makubwa sana (Blocks)
ambayo wazawa hawaruhusiwi kukanyaga, na
wakithubutu ni kuuawa. Kitendo cha Kagame na
Museveni cha kuifanya Nchi yetu kwamba haina
Utaifa na heshima ya mipaka yake (sovereignty
and territorial integrity) kama zilivyo nchi zao, ni
Tangazo la Vita! Ni lazima tujibu mapigo kwa
nguvu kuliko tulivyomjibu dikteta Idd Amin
Dadah. Majeshi yetu yaanze mazoezi makali ya
vita, na raia waanze upya mafunzo ya mgambo
kwa ajili ya Nchi yetu. Kama lilivyoanza tatizo la
uvamizi wa Kagame DRC Mashariki, maelfu ya
Wanyarwanda tayari wamekamata ardhi yetu
kubwa sana, kwa kutumia vibali bandia vya
kuishi nchini, na makaratasi ya uraia bandia wa
Nchi yetu. Jasusi la Kagame liitwalo Athanas
Kafurama mara nyingi hudhalilisha wazawa wa
nchi yetu kwamba hawana kitu vichwani, na
kwamba Tanzania inamjali mtu mwenye pesa
yaani kama wao, na siyo raia wake walalahoi!
Kagame amefanikiwa kwa sehemu kubwa kuiteka
kimya kimya mikoa yetu ya Kagera na Kigoma!
Hata Mkuu wa Mkoa wa Kagera Col. Fabian
Masawe unamwuma moyo, jinsi Kagame na
Mseveni walivyopenyeza askari zaidi ya 35,000,
waliojichimbia na maelfu ya ng’ombe, hasa
katika Hifadhi ya Taifa ya Buligi. Wanyarwanda
wamekamata ardhi yetu kubwa sana, bila kuwa
hata na vibali vya kuwepo nchini mwetu. Kabla
ya kueleza zaidi juu ya uvamizi wa Buligi mkoani
Kagera, tunapenda ifahamike kwamba Mkoa wa
Kigoma umeingiliwa na Wanyarwanda na
Warundi zaidi ya 100,000, ambao tayari
wameteka sehemu kubwa ya ardhi ya Taifa letu,
katika upanuzi wa Himaya yao. Tena
wanajipenyeza kupitia katika makanisa maalum
yanayoeleweka. Tayari wameanza kufanikiwa
kukamata utawala wa Nchi yetu, kama vile
Mnyarwanda aitwaye Peter Serugamba alivyoteka
Jimbo la Kigoma Mjini, au Diwani John wa Kata
ya Gungu. Watusi wamegundulika kuwamwagia
rushwa viongozi wa vijiji na vitongoji ambao
wanawatumia kuiteka ardhi yetu, na nafasi hizo
wamepanga kuzichukua wao katika kuijenga
Himaya yao. Vikao vya Watusi vya mikakati yao
ya kuitwaa Nchi yetu katika Himaya yao mjini
Kigoma hufanyikia katika hoteli ya Coast View,
iliyojengwa kwa mtaji uliotoka Rwanda, ambao ni
utajiri ulioporwa Congo.Watusi hawafichi katika
majigambo yao, kwamba wanaweza wasilazimike
kutumia nguvu za kijeshi kuitwaa ardhi ya
Tanzania, kwa sababu eti wanaweza kutumia
rushwa tu na akili kuichukua yote bila shida!
Wanaujua udhaifu wetu kwa sababu
walijipenyeza katika ngazi zote za utawala wa
Nchi yetu, katika majeshi yetu, Uhamiaji, Taasisi
zetu za fedha, Usalama wa Taifa n.k. Ndiyo
maana Nchi yetu takatifu imetumika katika
unyama wa kutisha kwa maslahi ya Watusi. Ni
kweli pia kwamba nchi yetu inao watawala
wanaoweza kununuliwa kirahisi kwa mapesa ya
Wanyarwanda, ng’ombe zao na au mabinti wa
Kitusi. Ndiyo maana wanampigia debe na
kumwinamia mwuaji wa kutisha Paul Kagame,
wakati wanajua kabisa kwamba:
1. Kagame amemwaga kinyama sana damu ya
mamilioni ya Wahutu, ambao bado anaendelea
kuwaua usiku na mchana, kuliko Adolf Hitler
alivyowaua Wayahudi.
2. Kagame anaendesha mauaji dunia nzima, kwa
kutumia kikosi chake maalum cha Escadron de la
mort, ambacho ndicho alichotumia hata
kumwangamiza Bingwa wetu wa Sheria, Hayati
Profesa Jwani Mwaikusa, kwa kosa la kuweka
wazi katika ICTR kwamba mtuhumiwa mkuu wa
genocide katika Maziwa Makuu ni dikteta Paul
Kagame. Kagame alihofia kwamba kutokana na
majumuisho ya mwisho ya Mwanasheria huyo,
lazima Ulimwengu ungelazimisha kukamatwa
kwake na kufikishwa mbele ya Sheria.
3. Kagame akiwa na cheo cha Meja alikuwa
mstari wa mbele kumwua Rais Thomas Sankara
wa Burkina Faso, kule Uagadougou.
4. Kagame alikuwa Burundi kwa ushirikiano wake
muhimu na Jean Bikomagu, katika mauaji ya
kikatili sana ya marehemu Rais Melchior
Ndadaye.
5. Kagame ndiye aliyehusika kikamilifu na
utunguaji wa ndege iliyomchukua Rais Juvenal
Habyarimana wa Rwanda pamoja na Rais Cyprien
Ntaryamira wa Burundi.
6. Kagame analaaniwa na dunia nzima kwa
kumfanyia unyama wa kutisha mwanasiasa
mwanamke, shujaa Victoire Ingabire, ambaye
amemtupa gerezani kwa kosa la kugombea Urais
wa Rwanda akiwa Mhutu, na kosa la kuwa na
kibali kwa wananchi wa Rwanda kuliko yeye
aliyeloa damu ya mamilioni ya binadamu
aliowaua kinyama.
7. Kagame amemwaga majasusi zaidi ya 1,000
katika Nchi yetu, wanaotumia ufisadi wa mapesa,
ngono n.k katika kutengeneza mazingira ya
kutekwa utawala wa nchi yetu na Watusi na
hatimaye nchi yetu kuwa mkoa wa Himaya yao.
Kama ilivyoelezwa juu, maelfu yao wamefanikiwa
kujipenyeza katika taasisi zote nyeti za dola ya
Nchi yetu. Walipoishika Uhamiaji waliitumia
kujipa uraia na kukamata nafasi nyeti na ardhi
yetu pia.
8. Maelfu ya majasusi wa Kagame wanajifanya
wanashughulikia mizigo ya Rwanda na Uganda,
wengine wanajifanya wafanyabiashara au
wanatafuta kuwekeza, wengine wanajifanya
wanafunzi. Lakini ukweli ni kwamba Taifa letu
liko uchi kwa Kagame, kwa sababu kila
tunachokifanya katika Nchi yetu kinaripotiwa
Rwanda masaa 24. Katika Jiji la Dar es Salaam,
Mikocheni ndiko walikojaa Wanyarwanda hao
kama kwao.
ANGALIZO: Jumuiya ya Afrika Mashariki ilivunjika
mwaka 1977 kwa sababu moja tu kwamba
ilishindikana viongozi wa nchi tatu wananchama
yaani Tanzania, Kenya na Uganda kukutana
pamoja, kwa ajili ya kupitisha maamuzi yote
muhimu ya uendeshaji wa shughuli zote za
Jumuiya.
Kwa sababu Rais Julius Nyerere alikataa kukaa
meza moja na Rais Idd Amin Dadah wa Uganda,
kwa sababu Amin alikuwa mwuaji. “Siwezi
kuchangia meza moja na mwuaji aliyeloa damu”
alitamka Rais Nyerere, ulimwengu wote
ukamuunga mkono hata mgomo wake
uliposababisha kuvunjika kwa Jumuiya ya Afrika
Mashariki! SWALI: Ikiwa Nyerere alikataa kukaa
meza moja na dikteta Idd Amin kwavile aliua
binadamu takriban 350,000, Jumuiya ya Afrika
Mashariki ikavunjika kwa sababu ya kuthamini
uhai wa binadamu kuliko vitu vingine vyote,
hawa watawala wetu wa leo wa CCM ni
binadamu wa jinsi gani, ikiwa wanaweza
kulikumbatia na kulipigia debe na hata magoti
liuaji la kutisha kama Paul Kagame, lililoua
kinyama binadamu zaidi ya 6,000,000 Rwanda,
Burundi, Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo,
Tanzania, Kenya, na kuwapelekea wengine kifo
kule kule Ulaya walikokuwa wamekimbizia uhai
wao? Watu wa hatari kuliko wote kuhusu amani
katika Maziwa Makuu ni hawa madikteta, Paul
Kagame na Yoweri Museveni, walioangamiza
mamilioni ya raia wa Maziwa Makuu, wakavamia
Jamhuri dada za Rwanda na Zaire (DRC) na
kuangusha tawala za mataifa hayo huru, na
kuipora Congo mpaka dunia nzima inawapigia
mayowe kama majambazi ya hatari! Watawala
wetu wanakuwa katika akili za namna gani
wanapokwenda Kampala na Kigali, na kukaa na
Kagame na Museveni na kuzungumzia eti amani
katika eneo la Maziwa Makuu, wakati hao ndio
wavunjaji makatili wa hiyo amani? Hivi ni kweli
akina Kikwete hawana hofu kwa Mwenyezi
Mungu, kiasi cha kuamua kumsaliti jirani mwema
aliyevamiwa na kuangamiziwa mamilioni ya raia
wake kwa kosa tu la kuwa Wahutu, na
kuwasaidia maharamia waliomvamia? Ni aibu
kubwa zaidi kwamba watawala wetu waliishia
kukubali umamluki, wa kuwasaidia Kagame na
Museveni majeshi eti yakawasaidie kuangamizia
Wahutu waliopokonywa nchi yao ya Rwanda, na
mashujaa wanaopinga udikteta wa damu wa
Yoweri Museveni nchini Uganda! Huku ndiko
kuhimiza kisasi cha Mwenyezi Mungu juu ya nchi
yetu!
UHARAMIA ULIOFANYWA NA WANYARWANDA
BULIGI
Kwanza kabisa, Wanyarwanda hawatasahaulika
walivyotikisa Mkoa wa Kagera walipoingia kule
kwa uharamia wa kutumia silaha, wakajulikana
kwa ufupisho kama Wanyaru. Wanyarwanda
waliteka magari, walipora fedha na mali zingine
za wananchi, na zaidi waliteka ng’ombe za
wananchi na kuzikimbizia Uganda, ambako
walizibadilisha na kuleta nchini wale ng’ombe wa
kwao, ambao wako tofauti na wetu kimaumbile.
Huu ni ujanja wa kawaida wa kijambazi.
Uharamia wa Wanyarwanda ulishamiri mno
mkoani Kagera, hapo Buligi pakawa kama makao
yao makuu ya kutisha, ndiyo maana palipewa
jina la Kosovo. Pori lote mpaka Kyamyorwa
lilikuwa halipitiki kwa sababu ya hatari ya
Wanyaru., ambao walikuja kutokomezwa na
ulinzi wa jadi wa Wasukuma na ushirikiano wa
dhati wa Kamanda mzalendo wa Polisi, Inspekta
Samson ambaye hivi sasa yuko Wilayani Chato
Mkoa wa Geita. Kutokana na umahiri wa
Wasukuma katika kupambana na uharamia kwa
ulinzi wao wa jadi au Sungusungu, Mheshimiwa
Wilson Masilingi akiwa Waziri katika Ofisi ya Rais
na Mbunge wa Muleba Kusini, alipopita mikoa ya
Ukanda wa Ziwa aliwahamasisha Wasukuma
kwamba wahamie maeneo ya Kyamyorwa na
Kasindaga na kwingine mkoani Kagera, na
kwamba wapewe na mashamba kwa sababu ni
kweli kwamba Wasukuma kwa asili ni wazalishaji
hodari. Wasukuma waliitika mwito huo na
kuhamia huko, na ni kweli kwamba waligeuza
eneo lile kuwa kitovu cha uzalishaji usio kawaida
wa mazao ya mpunga, mahindi, dengu, mtama,
ulezi, serena na mengine mengi, mbali ya ufugaji
wao. Baadaye Wasukuma hao walihamishiwa
Buligi kutoka hapo Kyamyorwa, kwa maombi ya
Waziri wa sasa wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi
ambaye pia ni Mbunge wa Muleba Kusini,
Profesa Anna Tibaijuka, kwa msingi kwamba eneo
hilo ni la kampuni ya Itente ambayo yeye ni
mhusika. Profesa Anna Tibaijuka aliandika hata
katika kitabu chake cha kampeni yake ya Ubunge
wa Muleba Kusini, kuwa Wasukuma wengi
walikuwa wamepewa eneo la Kyamyorwa kwa
makosa, kwavile eneo hilo lilikuwa la Kampuni
hiyo. Waziri Anna Tibaijuka anakiri kwamba
aliwaombea Wasukuma Serikalini wakapewa
uhamisho kwenda Buligi, na kwamba yeye
mwenyewe aliwasaidia hata usafiri wa kuhamia
Buligi. Wazalishaji wa Kisukuma waliongezeka
huko Buligi, baada ya ndugu zao waliokuwa
wamewaacha nyuma kuvutiwa na ushuhuda
mwema wa uzalishaji wa wenzao waliotangulia
huko, baada ya mageuzi ya eneo lililokuwa
‘Kosovo’ kuwa paradiso ya amani na maendeleo.
Ni kweli kwamba Wasukuma walipofika
uhamishoni Buligi, kwa uhodari wao katika
uzalishaji na umahiri wao katika ulinzi wao wa
jadi, waliigeuza‘Kosovo’, ikawa kihenge cha
chakula cha Mkoa wa Kagera, wakizalisha
mpunga, mahindi, maharagwe, dengu, mtama,
ngano, uwele, mihogo, migomba, viazi ulaya,
vitunguu, nyanya, mboga na hata miti kwa ajili
ya hifadhi ya mazingira, kwa kadri
walivyoshauriwa kitaalamu. KWAHIYO ukweli
hauwezi kukwepeka kwamba :
1. Uchomaji wa nyumba zaidi ya 500 za wananchi
wa kabila la Wasukuma katika maeneo ya Buligi
na mengineyo kwa kisingizio cha ‘Operation Okoa
Mazingira’ ulilenga kuwaangamiza Wasukuma
pamoja na mazao yao tele waliyokuwa nayo
majumbani mwao pamoja na mali zao zingine
zote.
2. Huko Buligi na maeneo mengine ambako
Wasukuma wanazalisha kwa wingi mazao hayo
yote, Wasukuma waliletwa na Serikali, si
wavamizi.
3. Wasukuma hawakuvamia mapori ya
Wanyarwanda au ya mtu mwingine yeyote. Kwani
Vijiji vyote wanavyoishi vinawatambua, hata kwa
mchango wao mkubwa sana katika uzalishaji.
4. Wasukuma hawajaingia katika Hifadhi ya Taifa,
wala hawana ng’ombe hata mmoja katika
Hifadhi, bali Wanyarwanda ndio wenye mamia ya
maelfu ya ng’ombe katika Hifadhi, ambamo hata
wanyamapori wetu Wanyarwanda
wamewamaliza. Wanyarwanda huhonga
mamilioni ya fedha na ng’ombe kwa maafisa wa
wanyamapori na watumishi wengine wa umma.
5. “Operation Okoa Mazingira” haikulenga
wahamiaji haramu ambao ni Wanyarwanda, wala
mamia ya maelfu ya ng’ombe zao kutoka Rwanda
na Uganda hususan katika Hifadhi ya Taifa, kwa
sabau Wanyarwanda hawakuguswa kabisa, bali
walikuwa wakishangilia wanavyofanyiwa unyama
Wasukuma, ambao wala hawana ng’ombe katika
Hifadhi kunakoharibiwa mazingira!
6. Nyumba za Wasukuma zilizoteketezwa
hazikuwa katika Hifadhi, bali katika vijiji na
vitongoji rasmi vyenye serikali halali za Vijiji na
Vitongoji. Mfano ni nyumba 105 za Kishonga B
Barabara ya 9, katika Kijiji cha Nyamilanda
Kitongoji cha Nyakabingo, na Kijiji cha Itunzi
Kitongoji cha Miziro. Wenyeviti wa Vijiji vya
Nyamilanda na Itunzi ni mashahidi, na
wanalalamikia unyama wa kuchomewa nyumba
wananchi wao.
7. Uteketezaji wa nyumba za Wasukuma
uliambatana na unyang’anyi wa pesa zao,
kuanzia shs 100,000/- hadi shs 4,000,000/- kwa
Msukuma mmoja, na kuwapa stakabadhi feki
zilizoandikwa “WAZABUNI WA MASOKO/ MIALO/
VIVUKO. Eti ADHABU kwa ajili ya hatia
zilizobuniwa zikiwa ni pamoja nauharibifu wa
mazingira, kufyeka misitu ovyo, zingine
ziliandikwa ‘Kusafirisha mifugo bila kibali’
Tunaambatanisha vivuli vya stakabadhi feki
zilizotumika (Nambari 135559, 135519, 135562,
135356, 135520,135367). Tena walipora mapesa
mengi sana kuliko waliyoandika katika
stakabadhi, na walio wengi hawakepewa hizo
karatasi! Huu ni unyang’anyi na ujambazi wa
wazi kabisa! Tunawaachia kazi DCI na Takukuru.
8. Maelfu ya wananchi waliofanyiwa unyama huu
walilundikana makanisani, kwa ndugu zao na
marafiki zao, na wengi walilazimika kuishi
maporini, ambako wanawake wapatao watatu
walijifungua kama wanyamapori.
9. Mkuu wa Wilaya ya Muleba, Lemberis Kipuyo,
ambaye alikuwa ameonwa na Mnyarwanda
aitwaye Athanas Habamungu Kafurama, na
kibaraka wa Wanyarwanda ambaye ni
Mwenyekiti wa Kijiji cha Kisana aitwaye Julius
Rwechungura, baada ya kuchangwa shilingi
milioni 100 katika kikao cha Wanyarwanda katika
kanisa lao la Butera tareke 31/10/2012,
kulingana na majigambo ya Wanyarwanda na
Kafurama mwenyewe, ndiye aliyeonekana
kusimamia unyama huo, ingawa yeye ndiye
mwangalizi wa amani na usalama katika Wilaya!
10. Mkuu wa Wilaya Lemberis Kipuyo alipohojiwa
na waandishi wa habari kuhusu unyama huu wa
kutisha, alikiri kwamba wamechoma moto
nyumba eti zilizokuwa katika Hifadhi, eti kwa ajili
ya kulinda mazingira ya Mkoa wa Kagera na
kuhamisha wahamiaji haramu wanaoingia na
makundi makubwa ya ng’ombe katika Hifadhi.
11. Kama alivyoeleza Lemberis Kipuyo, unyama
huo wa kutisha uliosukwa na Wanyarwanda na
kutekelezwa kwa usimamizi wake yeye
mwenyewe Mkuu wa Wilaya, ulianza tarehe
3/11/2012 saa 3 asubuhi katika eneo la Buligi.
Na kama alivyosema hata yeye Mkuu wa Wilaya,
maharamia waliowafanyia wananchi wa kabila la
Wasukuma unyama huu ni: Askari wa Jeshi la
Polisi Usalama wa Taifa Takukuru Wafanyakazi
wa Idara ya Misitu Wafanyakazi wa Idara ya
Uvuvi, ambao baadhi yao walitambulika. Askari
wa Wanyamapori, ambao baadhi yao
walitambulika. Askari wa Jeshi la Ulinzi,
waliotambulika kwa sare zao. Maharamia
waliovaa sare za Mgambo. Lemberis Kipuyo
alisema walikuwemo pia Wanasheria katika
unyama huu.
12. Wananchi waathirika walipokusanyika Kituo
cha Polisi Miziro, Mkuu wa Wilaya Lemberis
Kipuyo alifika hapo. Lakini alipoombwa afike
ajionee makazi ya wananchi wake
yalivyoteketezwa, aliwapuuza isivyo kawaida hata
kibinadamu, ingawa umbali haufiki hata
kilometa!
13. Kwa kuhofia makusanyiko ya vilio vya
Wasukuma, jasusi Mnyarwanda Athanas
Kafurama alikwenda kumchochea Mkuu wa
Wilaya azidishe unyama kwa madai kwamba eti
Wasukuma wamejiandaa kuvamia Kituo cha
Polisi Miziro. Ndipo unyama ulipozidishwa
maradufu kuwaangamiza Wasukuma, na
kuwawinda wale wote wanaoogopwa kama
waelewa, na wengi ikawabidi kukimbilia maporini
na kuishi huko kama wanyamapori licha ya mvua
nzito.
WANYARWANDA WALIVYOIPINDUA OPRESHENI
DHIDI YAO
(Kwa kuwageuzia kibao hicho Wasukuma)
Wanyarwanda walipoijua ‘Opresheni Okoa
Mazingira’ kwamba imeandaliwa rasmi kwa ajili
ya kuwatokomeza wahamiaji haramu yaani wao,
na kwavile waliwashika mkononi viongozi wote
kuanzia Mkuu wa Wilaya kama walivyokuwa
wanajigamba, na kama walivyokuwa wanajihami
kwa rushwa kwa uharamia wao wote
wanaoifanyia Nchi yetu, ndivyo walivyojipanga
kuwatoa kafara Wasukuma Serikali yetu ilikuwa
na taarifa zote za mikakati ya dikteta Kagame na
Museveni juu ya Nchi yetu, yaani uvamizi wenye
lengo la kuiteka ardhi yetu kama vile
wanavyofanya Congo Mashariki, uporaji wa
raslimali zetu, na walivyohamishia mamia ya
maelfu ya ng’ombe zao katika Hifadhi za Taifa
letu na utekaji wa ardhi ya wananchi, na hata
kulisha mifugo yao katika mazao ya wananchi,
wakitetewa na vibaraka wao ambao ni viongozi
wetu wala rushwa.
Wamiliki halisi wa haya mamia ya maelfu ya
ng’ombe ni marais na mawaziri wa Rwanda na
Uganda, ambao wanayo mahusiano ya kifisadi na
viongozi wetu mafisadi au Watusi kama wao.
Ndiyo maana azma ya Serikali yetu ya ‘Opresheni
Okoa Mazingira’ imekuwa ikipozwa kwa ufisadi
kwa muda mrefu, huku maadui wakizidi
kujichimbia na kuangamiza mazingira. Lakini kwa
nguvu ya wale viongozi wetu waliobaki na
uzalendo, Serikali yetu ilikazana na mpango
kabambe wa OPERATION ‘OKOA MAZINGIRA’,
kwa ajili ya kutokomeza kabisa uvamizi wa
Watusi katika Nchi yetu (wahamiaji haramu), na
kutowesha ng’ombe zote zilizoingizwa katika
Nchi yetu, zenye kuhatarisha uhai wa vizazi
vyetu vijavyo kwa kuharibu vibaya sana
mazingira. Kilio cha wananchi juu ya uvamizi wa
ardhi yetu na kuingizwa maelfu ya ng’ombe
katika Nchi yetu kutoka Rwanda na Uganda
kilianza mwaka 2009. Wanyarwandawalipopata
taarifa juu ya ‘Opresheni Okoa Mazingira’ dhidi
yao, walifanya mikutano kadhaa mizito katika
kanisa lao la Butera, linaloongozwa na Mtusi wa
hatari aitwaye Augens.
Tawi la kanisa hilo liko Chanyamisa, Karagwe,
ambako pia linatumika kwa mikakati hii ya
Kagame. Opresheni Okoa Mazingira iliyokusudiwa
kutokomeza wavamizi wa Nchi yetu na maelfu ya
mang’ombe yao yanayoharibu mazingira ya Nchi
yetu, iligeuzwa na walengwa, Wanyarwanda,
kuwa unyama wa kutisha wa kutowesha katika
eneo hilo wananchi wa kabila la Wasukuma, na
kuwapora mali na ardhi wanayozalishia mavuno
yaliyotia fora katika mkoa wa Kagera. Katika
kuwatwika Wasukuma dhoruba ya ‘Operation
Okoa Mazingira’ ambayo iliwalenga wao,
Wanyarwanda walianza kwa kuwachonganisha
kirahisi kabisa Wasukuma na ndugu zao Wahaya;
Kwavile Mhaya mwenye kulima ekari nne au tano
ndiye aliyeonekana kuwa mkulima stadi, lakini
Wasukuma wakawa wanalima ekari mpaka 50
mkulima mmoja, Wanyarwanda walitumia kwa
ufundi wao kigezo hicho kupandikiza mbegu ya
kijicho miongoni mwa Wahaya, ambao
wamekuwa wepesi kukabidhi kwa Wanyarwanda
ardhi yetu. Hatimaye baadhi ya Wahaya walianza
kuwanyoshea kidole Wasukuma kwamba eti
wanakamata ardhi kubwa kuliko wao, ingawa
mapori hayo yalikuwa yanakaa bure tangu
uumbaji mpaka Wasukuma walipoyavamia kwa
uzalishaji wa nguvu, hata wakawa wakivuna
magunia ya mpunga mpaka 700 mkulima
mmoja.Kwa hila za Wanyarwanda, Wahaya wa
Muleba na sehemu zingine zilizofanyiwa kazi ya
ufitini na Watusi, walianza kujikusanya vikundi
vikundi kuandika barua za kuomba ardhi hiyo
wanayozalishia Wasukuma, ili mashamba ya
Wasukuma yamegwe na kupewa wao, kusudi
Wanyarwanda wajipatie kutoka mikononi mwa
Wahaya, ambao Watusi wanawachukulia kuwa
wepesi zaidi wa kuwapasia wao. Kwa kuwatumia
vibaraka wao kama Julius Rwechungura ambaye
ni Mwenyekiti wa Kijiji cha Kisana, Wanyarwanda
siyo tu wameteka mamia ya ekari za ardhi yetu,
bali wamekuwa wanapiga vita siku zote ya
kuwafukuza Wasukuma ili wakamate wao
maeneo yote. Uharamia huu ndio uliopelekea
Mkurugenzi wa Wilaya kumwamuru Afisa
Mtendaji Kata ya Kyebitembe kuitisha mkutano
wa tarehe 27/3/2012 kuhusu malalamiko ya
Wasukuma dhidi ya Wanyarwanda. Mkutano huo
ulipiga marufuku kumega ardhi yoyote
inayotumiwa na wananchi wa kabila la
Wasukuma, kwa ajili ya mapinduzi ya uzalishaji
waliyofanikisha katika mkoa, walioingia katika
maeneo hayo tangu mwaka 2007 hadi 2011.
Mkutano uliamuru pia kufutwa mashitaka ya
kihaini yaliyofunguliwa na kibaraka wa
Wanyarwanda Julius Rwechungura, akitaka
Wasukuma wanyang’anywe mashamba yao ili
wapewe Wanyarwanda. Kisha Wanyarwanda
walifanya kikao muhimu tarehe 31/10/2012
katika kanisa hilo la Butera, chini ya uongozi wa
Jasusi la Kagame liitwalo Innocent Mchunku
Kapilipili. Agenda kuu ilikuwa kuchangisha
shilingi milioni mia moja kwa ajili ya kujihami
nahiyoOpreshenidhidi yao, kwa kuwanunua
viongozi wote wa hiyo opresheni. Taarifa za
uchunguzi wetu ni kwamba kweli mapesa hayo
yalichangwa na kuwasilishwa kwa Mkuu wa
Wilaya Lemberis Kipuyo na timu yake
iliyoendesha unyama wa kutisha dhidi ya
Wasukuma, badala ya wahamiaji haramu.
Uchunguzi umethibitisha kuwa Mnyarwanda
Innocent Mchunku Kapilipilialikuwa jambazi,
katika lile genge la hatari la maharamia kutoka
Rwanda waliojulikana kama “Wanyaru” chini ya
kamanda wao aliyeitwa ‘Kamanda Dogo’. Mnyaru
huyu ameteka zaidi ya ekari 400 za ardhi yetu
katika Kijiji cha Nyamilanda, Kitongoji cha
Nyakabingo, na Kijiji cha Kisana Kitongoji cha
Butera. Mtusi huyu anamiliki zaidi ya ng’ombe
500. Mnyarwanda mwingine muhimu katika kikao
cha kanisani Butera ni Francis Magege, ambaye
amekamata ekari zaidi ya 400 katika Kijiji cha
Nyamilanda, Kitongoji cha Nyakabingo. Kikao
hicho kilishirikisha pia Afisa Mtendaji wa Kijiji
cha Kisana, msaliti aitwayeJohanson Shumuni,
Mwenyekiti wa Kijiji cha Kisana, msaliti aitwaye
Julius Rwechungura, na Mwenyekiti wa Kitongoji
cha NyamtunduAbdon Krophas. Msaliti Johanson
Shumuni ametoka katika kifungo cha nje cha
mwaka mmoja, kwa kosa la kung’oa mazao ya
mwananchi wa Kijiji cha Nyamilanda, kusudi
Wanyarwanda wapitishe ng’ombe zao. Kibaraka
huyu wa Wanyarwanda alilipishwa pia fidia ya
shilingi 70,000/- kwa ajili ya mazao ya wananchi.
Wasaliti Johanson Shumuni, Julius Rwechungura
na Abdon Krophas kwa pamoja wana kashfa ya
kukitapeli Kikotongoji cha Butera msitu wa asili
wa mitundu, wakivunga kwamba ni ‘Hifadhi ya
Kijiji’ lakini wakawa wanapasua wao mbao na
kuzitoroshea nje ya nchi, mpaka moja ya malori
ya mbao hizo lilipokamatwa mwaloni Katunguru
na kifikishwa Polisi Muleba, mwezi Mei 2010.
Lakini watuhumiwa hawajawahi kufikishwa
mahakamani mpaka leo, Vibaraka hawa wa
Wanyarwanda ndio wahusika wakuu katika
kuwauzia ardhi yetu wahamiaji haramu. Mhusika
mwingine katika uuzaji wa ardhi kwa
Wanyarwanda ni Diwani wa Kata ya Karambi,
Ngote, aitwaye Hamudi Abdalla, ambaye hivi
sasa anamiliki zaidi ya ng’ombe mia mbili (200)
kutokana na rushwa ya Wanyarwanda.
Mwenyekiti wa Kijiji cha Kisana, msaliti Julius
Rwechungura alidiriki hata kuwafungulia
mashitaka mahakamani wananchi wa kabila la
Wasukuma, kwamba eti wamevamia ardhi ya
machungio ya Wanyarwanda! Kisha aliwawekea
dhamana yeye mwenyewe na kuwatoza shilingi
10,000/- kila mmoja. Lakini kibaraka huyo
alilazimishwa na kikao cha tarehe 27/3/2012
kilichoamriwa na Mkurugenzi wa Wilaya kufuta
kesi hiyo, kwa sababu haiwezi kuwepo ardhi ya
Wanyarwanda ndani ya mipaka ya Jamhuri ya
Tanzania!
USHAHIDI WA UKATILI WA WANYARWANDA
KWA RAIA WETU
Kwanza kabisa turejee mapokeo ya ile imani
chafu sana ya Watusi, kwamba wao wana utu wa
hali ya juu zaidi (superior race) kuliko Wabantu.
Unyama wa Wanyarwanda ni pamoja na
kuwateka nyara raia wetu, na kuwatumia kama
watumwa wa kuswaga mifugo yetu
waliyotupora.Mateka hawa huvuliwa nguo na
kuvikwa vipande vya matambara vya kitumwa, na
kubadilishwa majina. Mfano ni vijana wetu
Opecatus Filipowa Nsheshe, Kijiji cha
Nyamilanda, Kata ya Kyebitembe ambaye
aligeuzwa jina na kuitwa Peter, na Antelius wa
Kabanga Kijiji cha Kasharara, Kata ya Karambi,
aliyegeuzwa jina na kuitwa Rutashambya.
Wanyarwanda waliishi porini na hawa ‘watumwa’
kwa miaka miwili. Mmoja wao hatimaye
alifanikiwa kuwatoroka, akatoa taarifa Kituo cha
Polisi Kyebitembe, ambapo Mkuu wa Kituo hicho
shujaa Inspekta Samson alifuatilia kwa uhodari
mpaka akafanikiwa kumwokoa yule kijana wetu
wa pili. Wale watekaji walikimbia msako huo
baada ya kutonywa na msaliti Afisa Mtendaji wa
Rwabera, Karagwe, mwanamke aitwaye Alfredina.
Raia wetu hao waliokombolewa wana ushuhuda
wa kutisha wa unyama uliokuwa ukifanywa na
Wanyarwanda. Wanaeleza njia za porini
walizokuwa wakipitishia mifugo yetu,
mawasiliano ya Wanyarwanda kwa redio na simu
dhidi ya mipango yote ya serikali yetu ya
kuwafuatilia na mifugo yetu waliyopora. Vijana
wanaeleza jinsi walivyotumika kuficha hayo
makundi ya ng’ombe zetu, na jinsi walivyoishi
kama wanyamapori katika mvua kali na jua na
mateso mengi yasiyosemeka. Vijana hawa
wanashuhudia jinsi Wanyarwanda
walivyomchoma raia wetu kwa upanga wa moto
mwilini, kwa kuthubutu kudai ujira wa kutumiwa
kikatili kutorosha ng’ombe waliopora katika nchi
yetu mpaka huko maporini. Vijana wanashuhudia
jinsi wenzao walivyouawa na Wanyarwanda kama
wanyama. Zaidi ya yote, anaalaniwa vikali msaliti
Johanson Shumuni ambaye ni Afisa Mtendaji wa
Kijiji cha Kisana, kwa kumfichia siri mwuaji katili
wa Kinyarwanda,‘Mchungaji’ Augens mwenye hilo
kanisa la Butera, alipomwua kinyama mfanyakazi
wake aliyekuwa anasimamia boti yake iliyokuwa
ikifanya kazi za magendo katika Ziwa Buligi,
baada ya kumtuhumu kwa wizi wa injini ya hilo
boti lake. Shahidi mmojawapo wa mauaji haya ni
Benedicto Damian ambaye ni Mwenyekiti wa
Kitongoji hicho cha Butera. ‘Mchungaji’ hatari
Augens pia anashughulika na uvuvi haramu wa
kutumia makokoro, unaoangamiza mpaka mbegu
ya samaki kwa ajili ya vizazi vyetu vijavyo, Mtusi
mwingine aliyeua kinyama raia wetu ni
Mchungaji wa kanisa la Mnyarwanda Francis
Magege. Huyu alimwua aliyekuwa mchungaji wa
ng’ombe zake, baada ya siku tatu akaenda kutoa
taarifa ya uongo Polisi kwamba marehemu
ameuawa na nyoka. Baada ya kugundulika mwili
wa huyo marehemu machakani na kuchunguzwa
na Dr. Mtumbi, iliripotiwa kwamba aliuawa
kikatili sana kwa kitu kizito chenye ncha kali.
NdipoMnyarwanda huyo ‘Mchungaji’ aligeuza
kibao na kusema marehemu ameuawa na
Msukuma eti aliyekuwa amegombana naye kwa
sababu ya kulisha ng’ombe mazao yake. Lakini
uchunguzi unaonyesha kuwa marehemu aliuawa
baada ya kudaiana na huyo mwajiri wake
‘Mchungaji’. Mashahidi muhimu ni pamoja na
huyo Daktari aliyefanya uchunguzi, Mwenyekiti
wa Kitongoji cha Butera, na kijana aliyekuwa
anachunga pamoja na marehemu, ambaye
alikimbilia Ngara. KWAHIYOkwa ajili ya usalama
wa Nchi yetu, na heshima na Uhuru wa kweli wa
Taifa letu, na sifa ya Taifa letu ya kupigania HAKI
na utu wa mwanadamu, tunasisitiza kwamba:
1. Watu wote waliohusika na unyama wa kutisha
dhidi ya wananchi wa kabila la Wasukuma
Mkoani Kagera, pamoja na Wanyarwanda wote
waliohusika na unyama huu wakamatwe na
kufikishwa mbele ya sheria. Watuhumiwa ni
pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Muleba, Lemberis
Kipuyo .
2. Wananchi wote waliofanyiwa ukatili huu
walipwe fidia ya mateso yote na hasara zote
walizosababishiwa na unyama huu.
3. Mamia ya maelfu ya ng’ombe zilizoingizwa
nchini mwetu kutoka Uganda na Rwanda
zikamatwe na kupigwa mnada, ili fedha hiyo
itumike kuboresha Hifadhi zetu na mazingira ya
Nchi yetu.
KUHUSU GENOCIDE MAZIWA MAKUU
4. Taifa letu lisimame kinyume kabisa na
uharamia wa kuvamia Nchi yoyote huru duniani,
ikiwa ni pamoja na uvamizi wa Jamhuri ya
Rwanda na uvamizi na uporaji wa Jamhuri ya
Kidemokrasi ya Congo, uliofanywa na Watusi wa
RPF na Uganda.
5. Taifa letu lilaani imani chafu ya Watusi
(apartheid nyeusi) kwamba wenzao eti
waliumbwa kuwa watumwa wao, hivyo kudai
usawa wa kibinadamu eti ni uasi wa
kuangamizwa kama wanavyofanywa Wahutu.
6. Taifa letu liusaidie ulimwengu kujua ukweli
kwamba Watusi ndio walioendesha genocide ya
kutisha duniani, kwa kuangamiza Wahutu zaidi ya
6,000,000, zaidi ni mauaji yaliyofanywa na
dikteta Paul Kagame wa Rwanda, ambaye ndiye
mtuhumiwa Mkuu wa genocide ya Maziwa
Makuu.
7. Taifa letu lihakikishe pia kwamba mwuaji Paul
Kagame na wenzake wote wanafikishwa mbele ya
Sheria kujibumashitaka ya genocide.
8. Taifa letu lifanye TOBA kwa mwenyezi Mungu
kwa kudhamini unyama wote uliofanywa na
Watusi, ukiwa ni pamoja na mauaji ya marais
watatu wa Kihutu wa mataifa ya Rwanda na
Burundi, marehemu Rais Melchior Ndadaye,
marehemu Rais Juvenal Habyarimana na
marehemu Rais Cyprien Ntaryamira.
9. Taifa letu lifanye TOBA kwa kuikaribisha ICTR
Arusha, na kuifukuza katika Nchi yetu mara
moja, kwa sababu siyo siri kwamba ICTR ni
nyenzo ya kusaidia genocide ya dikteta Paul
Kagame ya kuwamaliza Wahutu.
10. Taifa letu lipige vita ukatili wa kuendelea
kuwashikilia kifungoni Wahutu waliotamkwa na
hiyo ICTR kwamba hawana hatia, na kuwatetea
kwamba walipwe fidia kwa unyama wote
waliotendewa na Kagame pamoja na ICTR na/au
UNO.
11. Taifa letu lihakikishe kuwa Rwanda, Burundi
na Uganda zinafutwa uanachama katika Jumuiya
ya Afrika Mashariki (EAC). Kwa sababu sharti kuu
la uanachama ni Haki za Binadamu, Demokrasia
na Utawala wa Sheria, lakini hizi ni tawala za
Udikteta wa kikatili na Umwagaji damu.
12. Taifa letu lihakikishe kwamba Dikteta Paul
Kagame anamwachia huru mara moja
mwanamke mpinzani wake, shujaa Victoire
Ingabire, ili akakataliwe na wananchi wenyewe
wa Rwanda au wampe uongozi kama wanaona
atawafaa. Kutoona haya mbele ya dunia kwa
unyama huu, kunadhihirisha Kagame kuwa si
binadamu wa kawaida!
Liberty International Foundation
Reverend Christopher Mtikila
(0766 053081, 0713 435016 )
EXECUTIVE CHAIRMAN
No comments:
Post a Comment