Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Tuesday, July 2, 2013

BREAKING NEWZ::Basi la Saibaba lapata ajali wakati likitokea Moshi kwenda Dar!

 
Basi lifanyalo Safari zake kati ya Mkoa wa Arusha, Kilimanjaro na Dar es salaam lijulikanalo kama "Sai Baba" leo limepata ajali wakati likiwa njiani kuelekea jijini Dar es salaam. Maisha Times itazidi kuwapa habari zaidi juu ya waliojeruhiwa/kufa katika ajali hiyo.
 
Endelea kufatilia kwa habari zaidi..

No comments:

Post a Comment