Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Thursday, July 18, 2013

Dogo Asley afunguka kuhusu jimama lililokuwa likimtaka kimapenzi na kusababisha kutengeneza wimbo "Bado Mdogo"

Young and hit maker wa wimbo "Naenda kusema kwa mama", Dodo Asley, amefunguka juu ya uhalisia wa wimbo wake mpya "Bado Mdogo", liomshirikisha Lina, ambao unazungumzia mama anaependa kufatilia watoto wadogo na kuwataka kimapenzi. 
Asley amesema wimbo huo ni kwa ajili ya kuwaelimisha vijana juu ya maswaha hayo, lakini pia ni story ya kweli iliyomtokea yeye akiwa na miaka 16, pale tu alipotoka na pini lake "Naenda kusema kwa Mama".
"kipindi kile naanza anza yaani ndo nyimbo inatoka ile "naenda kusema kwa mama ndio" , nilishawahi kupigiwaga simu na mama mmoja akijifanya yeye anataka wasanii kwenye show, lakini sijamuelewa yule mama, tulikuwa kila siku tunavyoendelea kuongea naona ananigusia sehem nyingine, halafu ukizingatia huyo mama anasema yeye ni mkubwa sana, yaani umri wake ni mkubwa tofauti na mimi  ukiangalia mimi umri wangu ni mdogo kipindi kile nakumbuka nilikuwa nina miaka 16, ye mwenzangu ana watoto, tena ana mtoto anasema, alikuwa anakaa moshi, kwahiyo alikuwa anataka mi nikafanye show niende moshi, lakini alikuwa ananiambia show yake bado kidogo, tukawa tunaongea ongea kwenye phone, lakini ndio akawa mara aninataka kimapenzi, sijui we mzuri sijui nini yaani vitu kama vile.
we mtu mzima huwezi kuniambia mimi eti ooh mzuri sijui unanifaa katika maisha yangu yaani meseji meseji zao, huwezi kuniambia mimi vitu kama hivyo, nishawahi kumwambiaga unamaanisha nini, ameniambia unamaana hujui, mi sijamwambia kitu, mi nilimwambia Fela yaani, nikabadilishaga namba kabisa... sijui alikuwa anaitwa nani, Mama magdalena sijui  nani, unajua kijana mwenyewe kwanza uwe unaangalia, kwasababu maradhi mengi sasa hivi, hujui mama kala starehe huko nini, anataka aje kufia kwako, kwahiyo angalia sana vijana, halafu hata nyie kina mama baadhi lakini sio wote...."

No comments:

Post a Comment