Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Wednesday, July 24, 2013

MKOMBOZI CENTRE NA MASHINDANO YA KU DANCE

Mkombozi Centre ni moja kati ya vituo vikubwa Tanzania vinavyofanya kazi ya kupambana kupunguza idadi ya watoto wanaoishi mtaani au kumaliza kabisa tatizo pamoja na kupinga vitendo vya unyanyasaji vinavyofanywa na watu dhidi ya watoto. Katika kuona hilo wanahakikisha wanatekeleza sheria zinazomlinda mtoto pamoja na kutoa elimu kwa jamii juu ya sheria zinazomlinda mtoto.

Katika kuonyesha mfano Mkombozi Centre kituo ambacho kinafanya kazi katika mkoa Kilimanjaro pamoja na Arusha wana utaratibu kila jumamosi ya Mwishoni mwa mwezi huwakutanisha watoto na wazazi katika ukumbi ujulikanao kama JIONI YA MSANII na hapo watoto hupata fursa ya kuonyesha vipaji vyao kama kuimba, kucheza, kuchora, sarakasi, maigizo na hata kula. Kutokana na watoto kuonyesha ushindani mkubwa katika kucheza Mkombozi Centre wakaona ni vyema kuandaa shindano maalumu la kucheza. 
Soma hapo sasa.

No comments:

Post a Comment