Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Monday, August 12, 2013

PICHA ZA KATIBU WA JUMUIYA NA TAASISI YA KIISLAM TANZANIA, SHEIKH PONDA AKIWA KATIKA CHUMBA MAALUM KATIKA KITENGO CHA MIFUPA MOI

Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, Sheikh Ponda Issa akiwa amelazwa katika chumba maalum katika Kitengo cha Mifupa Moi, jijini Dar es Salaam.

 Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda akiwa amelazwa katika chumba maalum katika Kitengo cha Mifupa Moi, jijini Dar es Salaam wakati akisubiri kufanyiwa operesheni katika bega lake la mkono wa kulia baada ya kupatwa na jeraha linalodaiwa kuwa limetokana na kupigwa risasi na Polisi mjini Morogoro hivi karibuni. 

Picha na Francis Dande

No comments:

Post a Comment